Mpanda FM
Mpanda FM
2 April 2026, 6:14 pm
Na Anna Mhina Baadhi ya wanaume manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameomba serikali kusisitiza maadili kwa wanawake juu ya umuhimu wa uvaaji wa mavazi ya maadili ili kuepukana na vitendo vya ukatili ikiwemo ubakaji. Wakizungumza na Mpanda radio FM wanaume…
1 April 2026, 9:49 am
“Lazima tujirekebishe tufanye kazi kwa huruma na upendo” Na Betord Chove Mkuu wa wilaya ya Tanganyika Onesmo Buswelu ameonesha kutoridhishwa na hali ya uzembe kwa baadhi ya watumishi katika vituo vya afya wilayani humo akiwataka kujitathmini katika utekelezaji wa majukumu…
1 April 2026, 9:19 am
“Uzalendo unaleta amani na kudumisha utamaduni” Na Leah Kamala Wananchi manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wametoa maoni yao kuhusiana na umuhimu wa kijana kuwa mzalendo, huku wakisisitiza kuwa uzalendo ni msingi wa maendeleo ya taifa. Wakizungumza na mpanda radio FM…
27 March 2026, 1:36 pm
“Tunaomba tupatiwe elimu maana hatuna uelewa” Na Roda Elias Wananchi wa Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameomba kupatiwa elimu juu ya ugonjwa wa kipindupindu kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha mkoani hapa ili kuepuka mlipuko wa ugonjwa huo. Wakizungumza na Mpanda…
27 March 2026, 12:55 pm
“Wananchi wanaendelea kupata elimu ya masuala ya ukatili wa kijinsia pamoja na haki za binadamu na elimu ya ujasiliamali kwa vijana ili waweze kujihimarisha kiuchumi.” Na Anna Milanzi- Katavi Taasisi isiyo ya kiserikali ya Tuelimike iliyopo mkoani Katavi imefanya mkutano…
27 March 2026, 12:47 pm
“Tunapewa mikopo bila elimu” Na John Benjamin Kutokutolewa kwa elimu ya mikopo kwa baadhi ya taasisi za kifedha imetajwa kuwa moja ya sababu ya baadhi ya wananchi mkoani Katavi kushindwa kufanya marejesho ya mikopo. Wakizungumza na Mpanda Redio FM kwa…
26 March 2026, 6:11 pm
Wananchi katika manisipaa ya Mpanda wameomba serikali kuingilia kati swala la kupanda kwa bei ya nyama ili kuhakikisha bei inashuka na kuendana na hali ya maisha ya wananchi wa kawaida. Na John Benjamin Baadhi ya wananchi manispaa ya Mpanda mkoani…
26 March 2026, 5:42 pm
Moja ya mto uliopo Mpanda. Picha na Leah Kamala “Ni vema wananchi wawe na desturi ya kuchemsha maji ili kuepukana na magonjwa” Na Roda Elias Jamii iishiyo karibu na vyanzo vya maji hususan mito katika manispaa ya Mpanda mkoani Katavi…
23 March 2026, 3:19 pm
“Lengo letu ni kuhakikisha amani na utulivu vinakuwepo katika mkoa wetu” Na Samwel Mbugi Sheikh mkuu wa mkoa wa Katavi Nassoro Kakulukulu ameendelea kuhimiza amani na mashirikiano baina ya dini zote katika kuhakikisha wanaihubili amani ya nchi ya Tanzania. Akizungumza…
23 March 2026, 2:17 pm
“Sheria inakataza kumnyanyasa ama kumbagua mtoto” Na Anna Mhina Wazazi na walezi wilayani Mpanda mkoani Katavi wametakiwa kutambua jukumu lao katika kuwapa malezi bora watoto bila ubaguzi. Wito huo umekuja kutokana na jamii kuendelea kukumbwa na matukio ya baadhi ya…
Umiliki wa redio
Mpanda Radio FM inamilikiwa na kampuni iliyosajiliwa iitwayo Mpanda radio FM Limited na cheti cha usajili namba 78298 na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mpanda Radio FM pia imesajiliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania TCRA, Wizara ya Viwanda na biashara; ama tunatambuliwa na Chama cha Wafanyabiashara, Viwanda na Kilimo Tanzania TCCIA na Mamlaka ya Mapato ya Tanzania kama Mlipa Ushuru, tuna Namba ya Kitambulisho cha Mlipa kodi 115-577-239 na tumepewa nambari ya usajili ya VAT 40-015708 kwa Biashara iliyoko hoteli ya Mpanda, eneo la eneo. nambari G, nambari ya kuzuia 35.
Dira
Kuwa jamii thabiti yenye afya bora, elimu, umoja na maendeleo endelevu, inayotambua wajibu na haki.
Dhamira
Kushirikisha jamii katika kuandaa vipindi, habari na uendeshaji wa redio kwa kuzingatia taaluma. Kuwa jukwaa la mijadala inayochochea mabadiliko chanya ya fikra, usawa wa jinsia, sheria na utawala bora, uwajibikaji, ushindani wa maendeleo, utamaduni na ulinzi wa rasilimali.
Uongozi
Mpanda Radio FM ina mlolongo mzuri wa uongozi na inasimamiwa na Bodi ya wakurugenzi. Tuna wakurugenzi watatu kwa hisa na kuajiriwa; pia tuna uongozi wa uzalishaji na uuzaji.
