Mpanda FM

Recent posts

10 December 2022, 4:36 am

Miaka 61 ya Uhuru wananchi wametakiwa kuunga mkono jitihada za vingozi

TANGANYIKA. Katika kuazimisha miaka 61 ya uhuru wa Tanzania bara wananchi wametakiwa kuziunga mkono jitihada mbalimbali zinazofanywa na viongozi ikiwa ni sehemu ya kumuenzi mwasisi baba wa taifa mwalimu Julius kambarage nyerere. Kauli hiyo imetolewa na mgeni rasmi ambae ni…

8 December 2022, 5:39 pm

Asilimia 88 ya kaya Mpanda zinatumia vyoo Bora.

MPANDA Asilimia 88 ya kaya katika manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi inatumia vyoo bora huku asilimia 12 za kaya zilizobaki hazina vyoo bora kutokana na kuwa na hali duni ya Maisha. Akizungumza na Mpanda radio FM afisa afya Manispaa ya…

8 December 2022, 5:33 pm

Bei za mafuta zapokelewa Kwa mikono miwili Katavi

MPANDA Madereva wa vyombo vya moto Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Mkoani katavi wametoa maoni yao juu ya mwenendo wa kushuka na kupanda kwa bei ya mafuta ya petrol na dizel. Wakizungumza na Mpanda Radio fm kwa nyakati tofauti madereva…

1 December 2022, 10:38 pm

Maambukizi mapya ya VVU Manispaa ya Mpanda yashuka mbaka 3.5%

MPANDA Katika kuadhimisha siku ya ukimwi duniani Manispaa ya mpanda imefanikiwa kupunguza maambukizi mapya ya virusi na kufikia asilimia 3.5. Akizungumza na mpanda radio fm mganga mkuu manispaa ya mpanda dk paul swankala amesema takwimu ya 3.5 inamaanisha kila wagonjwa…

1 December 2022, 5:05 am

Serikali iingilie kati kipindi cha mauzo ya Pamba

TANGANYIKA Wakulima wa pamba wilayani Tanganyika Mkoa wa Katavi wameiomba serikali kipindi cha mauzo ya pamba kuingilia kati na kusimamia zoezi ili kuepusha sintofahamu ambayo huwa inajitokeza kwa baadhi ya maeneo watu kutokulipwa stahiki Zao. Maombi hayo wameyatoa wakati wa…

29 November 2022, 8:24 pm

CCM Katavi yapongeza mahusiano mazuri ya Wafanyabiashara na TRA.

MPANDA Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi mkoani Katavi Idi Hassan Kimanta amesema Mahusiano bora baina ya wafanyabiashara na mamlaka ya mapato [TRA] mkoani Katavi ni sababu ya Kuwa kinara katika ukusanyaji bora wa mapato. Amesema Hayo wakati wa kilele cha…

29 November 2022, 8:14 pm

Ukatili wa kingono sababu ya mimba za utotoni Katavi

KATAVI Ukatili wa kingono umetajwa kuwa ni chanzo kimoja wapo cha mimba za utotoni Mkoani Katavi ambapo jamii imehaswa kuwalinda watoto. Hayo yamesemwa na afisa maendeleo ya jamii Joshua Sankala alipokuwa kwenye uzinduzi wa siku kumi na sita za kupinga…