Recent posts
29 April 2023, 12:02
Wananchi Iringa waaswa kuacha kilimo Cha Bangi.
Na Joyce Buganda Wananchi Mkoani iringa wametakiwa kufanya kazi kwa bidii na kutojihusisha na kilimo cha zao la bangi linaloleta madhara kwa vijana kwani ni kosa kisheria. Akizungumza na kituo hiki kamishina msaidizi wa polisi ambae pia ni mkuu wa kitengo…
28 April 2023, 15:36
Mbunge Kabati aibana serikali, ataka irekebishe Mfereji wa maji Ruaha Mbuyuni.
Na Halfan Akida Mbunge viti maalum mkoa wa Iringa Dkt Ritta Kabati ameitaka serikali kuchukua hatua za dharura kuwasaidia wananchi wa Ruaha Mbuyuni baada ya mfereji wa maji kuacha njia yake na kuathiri wakulima Kabati amehoji hayo katika kipindi cha…
26 April 2023, 12:07
Makala fupi kuhusu ukataji miti na mkaa unavyoharibu mazingira
Wananchi wa kijiji cha Makifu kilichopo tarafa ya Idodi mkoani Iringa wanakabiliwa na janga la ukame kutokana na uharibifu wa mazingira unaondelea katika maeneo hayo. MWANAHABARI WETU HAFIDH ALLY AMETUANDALIA TAARIFA KAMILI………………………..
26 April 2023, 11:48
Iringa yaanza kutekeleza afua za lishe kutokomeza udumavu kwa watoto
Na Adelphina Kutika Mkoa wa Iringa wenye asilimia 59.9 ya udumavu umeanza kutekeleza mpango wa utekelezaji wa afua za lishe zinazolenga kukabiliana na changamoto hiyo na utapiamlo kwa watoto chini ya miaka mitano. Afisa lishe mkoa wa Iringa Anna Nombo…
26 April 2023, 11:16
Shule ya Sekondari Mtwivila yapewa Computer na Runinga na Kampuni ya Vodacom.
Na Joyce Buganda Kampuni ya simu za mkononi VODACOM TANZANIA kwa kushirikiana na mradi wa AFRICAN CHILD PROJECT wametoa komputa 6,router na luninga 1 katika shule ya Sekondari Mtwivila Manispaa ya Iringa huku wakisisitiza walimu kutumia zaidi teknolojia ili kuwa…
25 April 2023, 20:35
Afungwa Jela miaka 30 kwa Kumbaka Mwanaye Iringa
Na Frank Leonard MAHAKAMA ya Wilaya ya Iringa imemuhukumu kifungo cha miaka 30 jela Imani Mfilinge (46) baada ya kumkuta na hatia ya kumbaka mwanaye wa miaka 13. Mfilinge ambaye ni mkulima na mkazi wa kijiji cha Isimani alitenda kosa…
23 April 2023, 15:47
Kihenzile Akabidhi Ng’ombe wenye thamani ya Million 51 Nyololo na Maduma.
Dhumuni la ugawaji wa Ng’ombe hao ni kuhamasisha mnyororo wa maendeleo kwa wananchi wa Jimbo la Mufindi kusini na kutekeleza ahadi alizowaahidi wananchi katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Na Mwandishi wetu Mbunge wa Mufindi kusini Mh. David kihenzile amekabidhi…
20 April 2023, 14:50
Viongozi wa Dini na Serikali waungana Kupinga ulawiti na Ushoga Iringa
Matukio ya ulawiti na Ushoga yamezidi kukithiri katika Jamii jambo lililopelekea Viongozi wa Dini na Serikali kukemea vikali. Na Hafidh Ally Viongozi wa Dini na serikali Mkoani Iringa wameungana kupinga vita vitendo vya ulawiti na ushoga ambavyo ni kinyume na…
20 April 2023, 14:36
Mbunge Matondo aibana serikali kuanza ujenzi wa Barabara kutoka Airport- Nyangug…
Serikali imeombwa kukarabati Barabara ya Airport kwenda Nyanguge ambayo imekuwa mbovu na changamoto kwa watumishi. Na Mwandishi wetu Mbunge wa Viti maalum mkoa wa Mwanza, Mh Furaha Matondo amehoji mkakati wa serikali kuanza ujenzi wa kiwango cha lami kwa barabara…
19 April 2023, 13:18
Mwanahabari Rashid Msigwa Afariki Dunia katika ajali Eneo la ipogolo
Na Mwandishi wetu Mwanahabari Rashid Msigwa Mkazi wa Igumbilo Manispaa ya Iringa amefariki katika ajali iliyotokea eneo la Ipogolo usiku wa kuamkia leo. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa ACP Allan Bukumbi amesema kuwa Msigwa…