Recent posts
26 May 2023, 12:13
Washiriki Great Ruaha Marathon wahakikishiwa usalama ndani ya hifadhi
Na Hafidh Ally Washiriki wanaotarajia kushiriki mbio za Great Ruaha Marathon 2023 ambazo zitafanyika katika hifadhi ya taifa ya Ruaha, wamehakikishiwa kuwepo kwa usalama wakati wote wa mashindano hayo. Akizungumza na Nuru FM mratibu wa shirika la Sustainable Youth Development…
26 May 2023, 09:58
Baraza la madiwani Iringa lawaonya machinga wanaorejea maeneo yasiyo rasmi
Na Frank Leonard Halmashauri ya manispaa ya Iringa imesema hakuna namna wafanyabiashara ndogo (Wamachinga) walioondolewa katika maeneo yasiyo rasmi mjini Iringa wataachwa warudi katika maeneo hayo. Onyo hilo limetolewa na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Iringa, Ibrahim Ngwada leo baada…
26 May 2023, 09:52
Madiwani Iringa wazuiwa kuingia kikao cha baraza la madiwani
Na Frank Leonard Madiwani watano na watendaji zaidi ya 10 wamezuiwa kwa zaidi ya saa mbili kuingia katika kikao cha Baraza la Madiwani wa Manispaa ya Iringa kama adhabu baada ya kuchelewa kwenye kikao hicho kilichokuwa kimepangwa kuanza saa 2:00…
24 May 2023, 14:08
SYDP laanza kufanya usajili wa washiriki wa mbio za Great Ruaha Marathon 2023
Na Hafidh Ally Shirika la Sustainable Youth Development Partnership (SYDP) linaloratibu mbio zilizopewa jina la Great Ruaha Marathon 2023 zitakazofanyika katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha mkoani Iringa, tarehe 8 Julai mwaka huu limeanza kufanya zoezi la usajili wa washiriki. Mbio…
23 May 2023, 17:44
Madereva bajaji Iringa waanza mafunzo kupata leseni za udereva
Na Frank Leonard Madereva bajaji 132 wa mjini Iringa wameanza mafunzo ya udereva yatakayowawezesha kupata leseni za kuendesha vyombo hivyo vya moto baada ya mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa Daudi Yassin kuahidi kubeba gharama zake. Mafunzo…
22 May 2023, 20:33
Madiwani Iringa, ASAS watoa msaada kwa wanafunzi wenye uhitaji
Na Mwandishi wetu Madiwani wa halmashauri ya manispaa ya Iringa kwa kushirikiana na kampuni ya ASAS DAIRIES wametoa msaada kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum wa shule ya msingi Katumba II iliyopo wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya. Madiwani wamekabidhi zawadi kadhaa…
20 May 2023, 13:32
Wanahabari mkoani Iringa wahudhuria bunge la bajeti Dodoma kwa mwaliko wa mbunge…
Na Hafidh Ally Waandishi wa habari mkoani Iringa wamehudhuria Bunge la 12, Mkutano wa 11 Kikao cha 29 cha Bunge la Bajeti kusikiliza Upitishwaji wa Bajeti ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari. Wanahabari hao wamefika bungeni kwa…
17 May 2023, 15:37
Mwili wa Kichanga waokotwa katika dampo la taka Iringa
Na Ansgary Kimendo Mwili wa mtoto mchanga anayekadiriwa kuwa na miezi tisa umekutwa ndani ya mfuko katika dampo lililopo eneo la kihesa sokoni kata ya Kihesa manispaa ya Iringa asubuhi ya leo. Wakizungumza kwa masikitiko baadhi ya wakazi wa eneo…
16 May 2023, 10:35
Mbunge Kabati ahoji mpango wa serikali kukarabati barabara ya Nyang’oro
Na Hafidh Ally Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa iringa Dkt. Ritta Kabati ameiomba serikali kutenga fedha za kukarabati barabara ya Dodoma-Iringa katika mlima Nyang’oro. Kabati ameyasema hayo bungeni jijini Dodoma katika kipindi cha maswali na majibu huku akihoji ni…
15 May 2023, 13:16
Kitomo akabidhi Printer shule ya Msingi Nyamihuu
Na Hafidh Ally Mdau wa maendeleo Elia Kitomo amekabidhi mashine ya kuprint na kutoa copy katika shule ya msingi Nyamihuu ili iwasaidie katika shughuli za Kitaaluma. Akizungumza wakati wa kukabidhi mashine hiyo, Elias Kitomo ambaye ni Mkurugenzi wa Kitomo Hardware…