Nuru FM

Recent posts

11 April 2023, 19:41

Polisi Iringa wamshikilia Baba aliyemlawiti mwanaye wa kumzaa.

Mkazi wa Nzihi anakamatwa na polisi kwa kosa la kumlawiti mtoto wake wa kumzaa. Na Adelphina Kutika Jeshi la polisi mkoa wa Iringa linamshikilia Aman Martin Mkazi wa Kata ya Nzihi Halmashauri ya wilaya ya iringa kwa tuhuma za kumlawili…

6 April 2023, 10:53

Bilioni 1 kuweka Taa za Barabarani 180 Mafinga Mkoani Iringa

Mradi huo unagharamiwa kwa pamoja kati ya halmashauri ya mji huo na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) watakaochangia Sh Milioni 500 kila mmoja. Na Frank Leonard KIASI cha Sh Bilioni moja kinatarajiwa kutumika kuweka taa 180 za barabarani zitakazotandazwa kwa…

5 April 2023, 12:41

Wazazi Wapeni nafasi watoto kushiriki michezo

Wazazi wametakiwa kutenga muda wa kushiriki katika michezo baada ya masomo na kuwanunulia vifaa vya michezo ili wawe na afya bora. Na Adelphina Kutika Wazazi na  wazazi Manispaa ya Iringa wametakiwa  kuwapa nafasi watoto kushiriki katika michezo ili kuibua vipaji…

3 April 2023, 15:05

Kete 58 za dawa za Kulevya aina ya Heroine zakamatwa Iringa

Madawa ya Kulevya aina ya Heroin yamekatwa na Jeshi la Polisi Mkoani Iringa baada ya Mtuhumiwa kuumwa Tumbo. Na Fabiola Bosco/ Joyce Buganda Jeshi la polisi mkoani wa Iringa linamshikilia Mwasema Rashid (37) mkazi wa Tabata Magengeni Jijini Dar es…

30 March 2023, 12:26

Wananchi washauriwa kukamilisha dozi ya chanjo ya Uviko-19

Ni muhimu kwa jamii kupata dozi mbili za chanjo ya Uviko-19 ili kukabiliana na Maambukizi mapya ya Virusi vya Corona. Na Ashura Godwin Idara ya Afya mkoa wa Iringa imewataka wananchi kujitokeza katika vituo vya afya ili kupata na kukamilisha…

29 March 2023, 20:05

Mwanakijiji asalimisha silaha aina ya Gobole kwa Mhifadhi wa Ruaha

Elimu ya Uhifadhi inayotolewa na wahifadhi katika maeneo yanayozunguka hifadhi ya taifa ya Ruaha imesaidia wananchi kusalimisha silaha wanazotumia kufanya ujangili. Na Vitor Meena Hifadhi ya Taifa ya Ruaha Mkoani Iringa, imeendelea na ziara ya kuzungukia Vijiji vinavyozunguka hifadhi hiyo…

29 March 2023, 19:55

Deni la serikali lazidi kupaa lafikia Trilion 71.31

Deni la Serikali kufikia June 30,2022 lilikuwa Tsh. Trilioni 71.31 ikilinganishwa na Tsh. Trilioni 64.52 Na Mwandishi wetu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali – CAG, Charles Kichere amesema hadi kufikia Juni 30, 2022 deni la Serikali lilikuwa…

DIRA

Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.

DHAMIRA

Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.