Nuru FM

Recent posts

6 April 2022, 9:22 am

Serikali kutangaza ajira 32,000

Serikali imesema wiki ijayo itatangaza nafasi za ajira 32,000 katika sekta ambazo zina upungufu mkubwa wa watumishi. Ahadi hiyo imetolewa Bungeni leo Jumatano Aprili 6, 2022 na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Jenista Mhagama ambapo…

6 April 2022, 6:34 am

ALLY MTERA: Changamoto ya hedhi kwa wanawake chanzo cha kutopata Ujauzito

Imeelezwa kuwa kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi kwa wanawake hupelekea kushindwa kupata ujauzito na kupata  maambukizi katika kizazi na kuziba kwa mirija ya uzazi. Hayo yamezungumzwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Tiba asili kilichopo Chalinze Mkoani Pwani cha Ilham…

6 April 2022, 6:29 am

Serikali Kukamilisha Miradi Ya Umwagiliaji Mkoga Na Kitwiru Mkoani Iringa

Serikali kupitia Wizara ya Kilimona Umwagiliaji imetoa kipaumbele kwenye miradi ya umwagiliaji iliyopo Mkoani iringa ili wananchi waweze kulima kilimo cha biashara. Hayo yamezungumzwa Jijini Dodoma  na Naibu waziri wa Kilimo na Umwagiliaji Antony Mavunde aalipokuwa ajibu swali la Mbunge…

5 April 2022, 9:11 am

Wizara Ya Afya Yapokea Vifaa Vya Tehama Vyenye Thamani Ya Milioni 200

Wizara ya Afya leo imepokea vifaa vya TEHAMA vyenye thamani ya shilingi 203,550,000 kutoka Shirika la USAID kwa kushirikiana na JHPIEGO kupitia mradi wake wa Momentum Challenge Global Leadership (MCGL). Akiongea wakati wa hafla hiyo Katibu Mkuu wa Wizara hiyo…

5 April 2022, 9:08 am

Utafiti wa Gesi ya Heliam kuanza Tanzania

Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa ameshuhudia utiaji Saini Mkataba wa Utafiti wa Gesi ya Heliam kati ya Kampuni ya Noble Helium Limited kupitia Kampuni yake Tanzu ya Rocket Tanzania Limited na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa…

5 April 2022, 8:20 am

Shilingi bilioni 93.1 zatumika kwenye miradi ya mendeleo Iringa

Sh93.1 bilioni zimetumika katika miradi mbalimbali ya maendeleo wilayani Iringa ikiwemo ujenzi wa barabara ya Kihesa Kilolo – Igumbilo itakayosaidia kupunguza msongamano wa magari mjini. Kwa sasa magari yote yanapita katikati ya mji na kusababisha msongamano mkubwa kutokana na ukosefu…

4 April 2022, 4:56 pm

Kamanda Mutafungwa: Marufuku Malori, Gari Za IT Kupakia Abiria

JESHI la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani limepiga marufuku magari yote ya mizigo pamoja na magari yanayokwenda  nje maarufu kama IT kubeba abiria huku likitoa anyo kwa wamiliki ambao wanaingiza magari mabovu babaranani na kusababisha ajali. Akizungumza wakati wa kufunga…

4 April 2022, 4:53 pm

Ajali ya Basi Dodoma Yaua Watu Wanne

Watu wanne wamefariki dunia na 19 kujeruhiwa mkoani Dodoma katika ajali iliyohusisha basi la Geita Express kugongana na Fuso jana Jumapili Aprili 3, 2022. Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Onesmo Lyanga amesema ajali hiyo…

4 April 2022, 4:51 pm

Wakamatwa kwa tuhuma za kukata vyuma Daraja la Tanzanite

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikiliwa watu wawili kwa tuhuma za kujaribu kuharibu miundombinu ya Daraja la Tanzanite. Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es salaam, Jumanne Muliro amesema kuwa…

4 April 2022, 4:47 pm

Vikao Vya Bunge Kurushwa Live

Katibu wa Bunge. Ndg. Nenelwa Mwihambi, ndc amesema vikao vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania vitaanza kurushwa moja kwa moja kutoka Bungeni katika vipindi vyote vya bunge. Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dodoma, Nenelwa amesema baada ya…

DIRA

Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.

DHAMIRA

Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.