Nuru FM

Recent posts

20 April 2022, 9:37 am

Mkurugenzi Wa Halmashauri Ya Mvomero Asimamishwa Kazi

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI),Mheshimiwa Innocent Bashungwa amemsimamisha kazi Bw.Hassan Njama ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro kulingana na taarifa hii hapa chini;

20 April 2022, 9:32 am

Watu Sita Wafariki Dunia Katika Ajali Mkoani Arusha

Watu sita (06) wamefariki dunia na wengine wanne wamejeruhiwa katika ajali iliyo husisha gari Toyota Noah kugongana na lori aina ya scania katika eneo la ALKATANI kata ya Sepeko tarafa ya Kisongo wilaya ya Monduli mkoa wa Arusha katika  barabara…

20 April 2022, 7:37 am

Polisi kuchunguza kifo cha Padri Kangwa

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema linaendelea na uchunguzi wa tukio la kifo cha Paroko wa Parokia ya Mbezi Mshikamano, Padri Francis Kangwa aliyekutwa ndani ya tenki la maji akielea. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya…

20 April 2022, 7:29 am

Tuzo za Waandishi wa habari Nchini kutolewa Mei 3

Wanahabari wa Tanzania wanatarajia kupata tuzo kwa makundi tofauti katika tasnia hiyo ikiwa ni katika kuenzi na kutambua umuhimu wao katika kuleta maendeleo ya nchi kitaifa na kimataifa. Hayo yamesemwa na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Rodney Thadeus…

DIRA

Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.

DHAMIRA

Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.