Nuru FM

Recent posts

13 October 2022, 05:43

EBOLA: Tuchukue Tahadhari Sahihi

Wataalamu wa Afya wametakiwa kujua ugonjwa wa Ebola na kuwaelimisha wengine ili kujua jinsi ya kujikinga pamoja na kuchukua tahadhari sahihi namna ya kukabiliana na ugonjwa huo. Hayo ameyasema Mganga Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Urio Kusirye wakati akifungua…

5 October 2022, 05:19

Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amewatoa hofu Watanzania kuhusu Ugonjwa wa Ebola uliopo nchi jirani na kuwataka waendelee kuchukua tahadhari za kujikinga dhidi ya ugonjwa huo. Waziri Ummy ameyasema hayo wakati wa ziara ya kukagua utayari wa kukabiliana na…

26 September 2022, 13:47

Wanawake wawili Manyara wakamatwa na misokoto 1220 ya bangi

Kiasi cha misokoto 1220 cha madawa ya kulevya aina ya bangi kimekamatwa hapo jana na jeshi la polisi katika kijiji cha mswakini kilichopo wilayani Babati mkoani Manyara. Akizungumza na waandishi wa habari kamanda wa polisi mkoani humo, kamishna msaidizi wa…

DIRA

Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.

DHAMIRA

Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.