Mazingira FM

Uhuru wa kujieleza na haki za wanawake

6 December 2024, 8:33 pm

Changamoto za wanawake kutoaminiana na jamii kushindwa kumuamini mwanamke bado ni kikwazo kwa wanawake wengi kushindwa kupata nafasi ya kujieleza kikamilifu kwenye jamii

Hayo yameelezwa na Rebecca Gibore katika kipindi cha radio mazingira fm kilichokuwa bna mada isemayo uhuru wa kujieleza na haki za wanawake.

Uhuru wa kujieleza na haki za wanawake