FM Manyara

Recent posts

18 August 2026, 4:10 pm

Matumizi holela ya simu kwa watoto yatajwa kuchochea ukatili

Wananchi mkoani Manyara wametakiwa kutambua wajibu na mipaka yao katika jamii ili kusaidia kupunguza vitendo vya ukatili, hususan ukatili dhidi ya watoto na ukatili wa kijinsia. Na Mzidalfa Zaid Wito huo umetolewa leo na Afisa wa Dawati la Jinsia na…

17 August 2026, 10:36 pm

TGNP yawanoa viongozi Babati kupinga ukatili wa kijinsia

Mtandao wa Jinsia Tanzania TGNP umafanya mafunzo ya siku mbili  kwa baadhi ya Viongozi kutoka serikali ngazi ya vijiji na kata na wadau mbali mbali wanaojishughulisha na kutoa msaada kwa wahanga au manusura wa matukio ya ukatili wa kijinsia. Na…

17 August 2026, 12:47 pm

RC Sendiga azindua fulana za Manyara Tanzanite Marathon

Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, leo amezindua tisheti rasmi zitakazotumika katika mbio za hisani za Manyara Tanzanite Marathon, zinazotarajiwa kufanyika Agosti 22 mwaka huu. Na Mzidalfa Zaid Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Sendiga amesema hadi kufikia asubuhi ya…

15 August 2026, 10:03 am

DAS Babati ahimiza wananchi kushiriki Manyara Tanzanite Marathon

Katibu Tawala wa Wilaya ya Babati, Thobias Abwaro, ameongoza mazoezi ya pamoja leo, tarehe 15 Agosti 2026, ikiwa ni sehemu ya hamasa kuelekea mbio za hisani za Manyara Tanzanite Marathon zitakazofanyika Jumamosi, tarehe 22 Agosti 2026. Na Mzidalfa Zaid Akizungumza…

13 August 2026, 5:15 pm

Wanafunzi 460 Mdori kunufaika na mradi wa miaka 4 wa Chem Chem

Taasisi ya Chem Chem imekabidhi darasa Moja lililofanyiwa Maboresho,mashine ya kudurufu na computer mpakato mbili kwa Uongozi wa Shule ya Msingi Mdori iliyopo katika Kata Ya Nkaiti Wilayani Babati mkoani Manyara. Na Marino Kawishe Akisoma taarifa ya mradi huo wa…

13 August 2026, 4:52 pm

Jamii Manyara yatakiwa kupinga usafirishaji haramu wa binadamu

Jamii mkoani Manyara imetakiwa kutoa taarifa kwa mamlaka husika inapobaini vitendo vya usafirishaji haramu wa binadamu, ili hatua stahiki ziweze kuchukuliwa dhidi ya wahusika. Na Mzidalfa Zaid Wito huo umetolewa na Afisa Ustawi wa Jamii kutoka Wizara ya Mambo ya…

10 August 2026, 11:51 am

EWURA Kanda ya Kaskazini na uwekezaji vituo vya mafuta vijijini

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji Kanda ya Kaskazini EWURA imewataka wananchi kuchangamkia fursa za uwekezaji kwakufungua vituo vya mafuta huku mamlaka hiyo ikiwahakikishia kuwa mamlaka inasimamia utoaji wa vibali na leseni za ujenzi na uendeshaji kwa…

9 August 2026, 1:59 pm

RC Sendiga aongoza mazoezi kuelekea Manyara Tanzanite Marathon

Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mhe. Queen Sendiga  amewataka wananchi wa Mkoa wa Manyara na Watanzania kwa ujumla kujitokeza kwa wingi kujiandikisha na kushiriki katika Mbio za Tanzanite Manyara Marathon zinazotarajiwa kufanyika Agosti 22, 2026, wilayani Babati, huku akieleza kuwa…

9 August 2026, 1:19 pm

Je, uchumi wa mwanamke hupunguza ukatili wa kijinsia?

Uwezeshaji wa wanawake kiuchumi umeendelea kuwa moja ya njia zinazotajwa katika kuimarisha uwezo wa wanawake kufanya maamuzi, kujitegemea na kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya familia na jamii. Mzidalfa Zaid na Hawa Rashid Lakini je, kuwa na kipato na uwezo wa…

About FM Manyara

COMPANY PROFILE
FM Manyara Radio was founded in 2018 located in Babati district, Manyara region. FM
Manyara 92.3 Radio we are committed to innovation to bring the best radio and broadcasting
services in the region and around the country.

Manyara 92.3 FM Radio is a radio station broadcasting a mixed format consisting of news,
sports, music and a variety of talk programs both being aired within 24 hours. It is strategically
located in Babati Town, Manyara –one of the fastest-growing towns in Tanzania.
The station commenced test transmission on 02nd of December 2018 and was granted a
district broadcasting license from Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA). Since
test transmission of the radio, the station has gained more support and acceptance from the
listeners around the district.

We provide and promote business through the following
 Live programs that enable customer to air his/her products or services and get direct
feedback from our audience
 Airing spot adverts.
 Airing presenter mentions
Any other live public events as suggested by the customer
The commercial activities on the radio began officially in 2019 and through this short period of
commercializing the media we have succeeded in working with different organizations and
institutions both governmental and nongovernmental, This creates a sense of trustworthiness not
only to ourselves but also to our partners.

COVERAGE AREA
FM Manyara 92.3 Radio has an average radius of 120 kilometers, and the station has
planned to complete a geographical expansion programme that will extend the radio signal to
the entire Northern zone and parts of Central Tanzania which will mean approximate listeners
of well over 2 to 3 million. Also, FM Manyara 92.3 Radio will widen the listeners to other areas
that we have not reached in terms of frequency coverage and modulation and use online
platform and our station will be tuned wherever in the world. We expect to have listeners from
far Asia in countries like Japan and South Korea / and far West in the United States of America and
Canada.

VISION STATEMENT
The 92.3 FM Manyara Radio vision statement is ‘to be an industry leader with national and
International brand recognition builds around the cohesive team of passionate, creative and
inspired Individuals who love what they do, empowering our clients to reach their goals. Our
the team is innovative and forward-thinking while remaining conscious of the needs of today, and
being a financially strong, growth-oriented company enables us to provide stability for our most
valuable assets; our people and our clients.

MISSION STATEMENT
The 92.3 FM Manyara Radio mission statement is ‘To empower and inspire motivated business
and entrepreneurs to discover and fulfill their dreams and adventures’ In terms of
programming, FM Manyara 92.3 Radio is a public interest station –combining education,
information, news, and entertainment. The station’s focus is on the interplay of issues
concerning the community; its history and the social, cultural, and economic activities and
endeavors of the people. Apart from providing essential information, the station’s programmes
incorporate the ‘how to do’ approach providing guidance, and offering tips and hints to listeners on
different subjects.