FM Manyara

Haki za wazee zinazingatiwa?

30 October 2026, 7:18 pm

Picha ya baadhi ya wazee

Wazee ni miongoni mwa makundi maalum katika jamii wanaostahili kupata huduma bora za afya, matunzo na heshima kutokana na mchango wao katika ujenzi wa familia na taifa kwa ujumla, je? Haki za wazee zinazingatiwa?

Na Mzidalfa Zaid, Hawa Rashid

Baadhi ya wazee mkoani Manyara wanasema bado wanakabiliwa na changamoto mbalimbali zinazowafanya washindwe kupata haki zao za msingi, zikiwemo huduma za matibabu bila malipo, kutopata kiinua mgongo kwa wastaafu pamoja na kutelekezwa na familia zao.

Karibu katika makala maalum ambayo tumekuandalia kuhusiana na haki za wazee zinazingatiwa? makala hii imezungumza na wazee, wananchi, mwenyekiti wa wazee, afisa ustawi wa jamii mkoa wa Manyara , mganga mkuu wa halmshauri ya mji wa Babati na mwanasheria karibu kusikiliza makala hii.

Sauti ya makala kuhusiana na haki za wazee