FM Manyara
FM Manyara
23 October 2026, 1:17 pm

Ndoa za utotoni zimeendelea kuwa miongoni mwa changamoto zinazoweza kuathiri maendeleo ya watoto wa kike, zikihusishwa na kukatisha ndoto za elimu, kuhatarisha afya ya uzazi pamoja na kuwanyima watoto fursa ya kukua na kujiandaa kwa maisha ya utu uzima.
Na Mzidalfa Zaid na Hawa Rashid
Makala yetu imezungumza na wananchi, wazee, afisa ustawi wa jamii mkoa wa Manyara, mratibu wa afya ya uzazi na mtoto, mwenyekiti wa chama cha mapinduzi mkoa wa Manyara pamoja na waziri wa maendeleo ya jamii, jinsia, wananwake na makundi maalum, karibu kusikiliza makala hii