Baraka FM
107.7 MHz
Forest ya zamani Mbeya mjini
0652587003
fmradiobaraka@gmail.com
http://www.Barakafm.co.tz
107.7 MHz
Forest ya zamani Mbeya mjini
0652587003
fmradiobaraka@gmail.com
http://www.Barakafm.co.tz
Jukumu la kanisa ni kuombea amani ya taifa,kwani maombi yana nguvu ya kuleta utulivu,umoja na mshikamano hivyo huchangia maendeleo endelevu ya jamii na nchi kwa ujumla. Na Hobokela LwingaAskofu wa Kanisa la Moravian Tanzania, Jimbo la Kusini Magharibi, Robert Pangani,…
21 August 2026, 23:10
Katika kujenga umoja na ushirikiano katika jamii taasisi mbalimbli nchini zimeendelea kutembelea na kutoa misaada kwa watu wasio jiweza. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Benjamin Kuzaga amewaongoza Maafisa, Wakaguzi na Askari wa vyeo…
21 August 2026, 17:07
Kutokana na uwepo wa changamoto ya udumavu wa watoto kutokana na ukosefu wa lishe bora. Na Ezra Mwilwa Wazazi na walezi wametakiwa kufika mara kwa mara katika vituo vya afya ili kupata elimu kuhusu uandaaji wa lishe bora kwa watoto,…
20 August 2026, 22:27
Kutokana na ongezeko kubwa la watumiaji wa mitandao ya kijamii vijana wanaendelea kuhimizwa kuacha kutumia mitandao hiyo kinyume na maadili ya jamii. Na Ezra Mwilwa Mahakama ya wwanzo Mbeya mjini imemhukumu kifungo cha mwaka mmoja (miezi 12) jela Ramadhan Rudabuka…
19 August 2026, 15:38
Watu wenye mahitaji maalumu ni watu wanaopaswa kutendewa sawa kama ilivyo kwa watu wengine. Na Hobokela Lwinga Askofu wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi, Robert Yondamu Pangani, ameitaka jamii kuacha unyanyapaa na ubaguzi dhidi ya watu wenye…
21 July 2026, 10:56
Utoaji wa sadaka ni sehemu muhimu ya ibada na ishara ya kumshukuru Mungu kwa baraka anazotujalia. Na Hobokela Lwinga Mwenyekiti wa Halmashauri Kuu ya Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi, Mchungaji Paul Samwel Mwambalaswa, ameongoza ibada ya…
21 July 2026, 05:32
Upendo kwa wasiojiweza hujengwa kwa matendo kwa watoto yatima na watu wenye mahitaji. Na Ezra Mwilwa Umoja wa Watoto wa Wachungaji wa Kanisa la Moravian mkoa wa Mbeya umewatembelea watoto yatima wanaolelewa katika Kituo cha Amani Nsalaga, kinachomilikiwa na Kanisa…
13 July 2026, 23:33
Vijana wanapaswa kutumia mikopo ya serikali kujiajiri kwa sababu inawapa mtaji wa kuanzisha au kupanua biashara zao. Kujiajiri husaidia kupunguza ukosefu wa ajira, kuongeza kipato, na kuboresha maisha ya vijana pamoja na familia zao. Na Hobokela Lwinga,Kyela Mbeya Serikali ya…
12 July 2026, 23:44
Upatikanaji wa mitaji kwa vijana, utoaji mikopo na fursa za uwekezaji unawapa uwezo wa kujiajiri, kuanzisha na kupanua biashara, kuongeza uzalishaji na kufungua nafasi za ajira kwa wengine.Hatua hii huchochea ukuaji wa uchumi, hupunguza umaskini na utegemezi, huku ikiwajengea vijana…
17 June 2026, 11:46
Kampuni ya Tanzania Innovation and Creative Opportunities Network (TICON) imezindua kampeni maalumu ya kuhamasisha wanafunzi wa vyuo vikuu mkoani Mbeya kushiriki katika kutangaza vivutio vya utalii vilivyopo mkoani humo, kwa lengo la kuongeza uelewa na kuvutia watalii wa ndani na…
3 June 2026, 21:07
Serikali imeendelea kusisitiza umuhimu wa kuimarisha huduma za kijamii kwa kuwekeza katika vituo vya ESRACS ili kuboresha utambuzi wa mapema na huduma za watoto wenye mahitaji maalumu nchini. Na Hobokela Lwinga Mkuu wa Wilaya ya Mbarali, Maulid Hassan Sulumbu, amesema…
OVERVIEW
Baraka FM radio limited is a private owned profit media organization belonging to the Moravian church in Tanzania-South West Province. Its broadcasting house is located along Mahakama Street, Old forest Area in Mbeya and its transmitter installed at Kawetere Transmission site, 17KM along Chunya road.
Baraka FM radio officially switched on November 2008 as the first religious radio station in Mbeya region with strong and trusted local customer brands.
More than two million people listen to Baraka FM radio, based on call in/messages as well as social media charts in the station per week.
COVERAGE AREA
Baraka FM covers 400KM radius area with strong physical presence across Mbeya region and Songwe region. Furthermore BFM has physical presence to some other parts of southern highland zones. In Njombe radio covers Makambako and Wanging’ombe districts, while in Iringa region BFM covers Mufindi as well as Kilolo districts),
Aside from area coverage above are, Baraka FM has a very strong online presence with a live online stream on its website www.barakafmradio.com and Application in a play store named Baraka FM radio 107.7 Mbeya, as well as powerful social media pages, Instagram and Facebook page.
VISION
A major and reliable radio station for the provision of quality evangelical messages, as well as basic information necessary and meaningful to individual household, and community development.
MISSION:
To provide listenership with media outlet that is committed to hearing and sharing the voices of its listenership
To produce radio programs that are educative, informative and entertaining, with regular reference to real life issues
To promote social cohesion among all members of the community within our catchment area
To provide messages of hope to heal the broken society
SOCIAL IMPACT
BFM Radio promotes social cohesion by facilitating dialogue between different sections of the community. It aims at providing a platform to bridge the gap between the voiceless and decision makers.
SLOGAN
Our slogan is “Voice of hope and salvation” which is unique among the local radio stations in that is targeted at the general audience rather than a specific demographic.
CORE VALUES
Christianity: We seek to provide high quality media services
Quality: We seek to provide high quality media services
Dynamism: We remain dynamic in responding to changing technology and other changing global demand as long as there are not in conflict with the Moravian doctrine.
Professionalism: We are professional and transparent in all our dealings
Social responsibility: We demonstrate that we are part of the society in which live by participating in societal activities
Integrity: We seek to recruit, develop and retain a team of high integrity
Respect: We seek to treat all manner of people with respect
Impartiality: We seek to be fair to everybody
Diligence: We are hardworking and committed to the mission of the radio station
NUMBER OF STATION
At present BFM radio has two stations which are:
Broadcasting House (BH) comprising administration offices, news room, On –Air, Production and Recording studios
Transmission site (TX) comprising transmitter and Radio Tower (RT)
There are plans in the near future to establish a substation at Isyonje area to strengthen signal reception in Rungwe, Kyela and Makete.
Baraka FM products:
DAILY PROGRAMMES:
From Baraka FM radio you can sponsor programs below for daily collection of customers for your business and commercial developments.
NURU YA ASUBUHI: At 06:00am to 10:00am, you are listen DW news, regional, national and international political news, social, sports and economic news contents as well as newspaper headings.
KIVULINI: Every day at 12:00PM to 2:00PM here you get and enjoy health education, delicious food preparation, greetings and house decoration education contents.
JARIDA: The program starts 10:00AM to 11:00AM, contains daily business, commercial, social, environmental, political, economic industrial as well as communication education.
EDUCATION CORNER: Covers University and schools’ contents such as children psychology, behavior and language skills for both university, colleges and schools’ students.
IJUE BIBILIA (KNOW THE BIBLE): It is one hour program, starts from 11:00PM to 12:00PM, the program containing bible knowledge
MUDA WETU: 2 hours program that contains, gospel music and news entertainments.