Baraka FM

Dkt. Tulia atoa msaada wa vifaa vya shule kwa wanafunzi jijini Mbeya

22 January 2024, 19:30

Na Ezra Mwilwa

Taasisi ya Tulia Trust inayoingonzwa na Dkt.Tulia Akson Mwansasu Mbunge wa Mbeya Jiji, Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzani ambaya pia Rais wa Mabunge yote Duniani ametoa msaada wa vifaa vya shule kwa wanafunzi shule mbalimbali jiji Mbeya.

Akizungumza katika hafla hiyo Dkt Tulia Amesema msaada huo ni waawali hivyo ataendelea kuwezesha wanafunzi kupata mahitaji ya shule sambamba na kuwataka wadau mbalimbali kujitokeza kuunga mkono zoezi hilo.

Dkt.Tulia Akson MwansasuMbunge wa Mbeya Jiji, Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzani ambaya pia Rais wa Mabunge yote Duniani(Picha na Ezra Mwilwa)
sauti ya Dkt.Tulia Akson Mwansasu Mbunge wa Mbeya Jiji, Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzani ambaya pia Rais wa Mabunge yote Duniani

Meya wa jiji La Mbeya Dul Muhamed Issa amemhakikishia Dkt Tulia kuwa kama baraza la Madiwan watahakikisha wanafanya ukarabati wa Miundombinu ya shule.

Sauti ya Meya wa jiji La Mbeya Dul Muhamed Issa

Katika Hafla hiyo Imehudhuriwa na Afisa Elimu msingi jiji la Mbeya Julius Lwinga amesoma taarifa ya mwenendo mzima wa Elumu ya Musingi kwa jiji lambeya lakimija elfu Thelathi nanne na kumi na tisa.

Sauti ya Afisa Elimu msingi jiji la Mbeya Julius Lwinga

Baadhi ya waalimu walio hudhuria hafla hiyo na wanafunzi waliopatiwa msaada wamemshukru Dkt. Tulia kwakutoa sare za shule na da daftari.

Sauti za walimu na wanafunzi

Vifaa hivyo vimegawiwa kwawanafunzi wa shule za msingi ikijumuisha katazote za jiji la Mbeya Thelathi na sita