Baraka FM

Waziri mkuu Majaliwa ameondoka mkoani Mbeya baada ya kufungau rasmi chuo kikuu cha Kikatoliki Mbeya CUoM

16 January 2024, 19:45

Na Hobokela Lwinga

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kasim Majaliwa ameondoka Mkoani Mbeya baada ya Kushiriki Hafla ya Ufunguzi wa Chuo Kikuu Cha Kikatoloki Mbeya (CUoM) Leo January 16 2024.