4 April 2025, 20:16

Ghala la magodoro lawaka moto Mbeya

Jeshi la zimamoto limekuwa likitoa elimu ya matumizi ya vifaa vya kuzimia moto pindi unapotokea huku wakisisitiza utoaji wa taarifa mapema yanapotokea majanga hayo. Na Kelvin Lameck Moto mkubwa umezuka usiku wa kuamkia leo tarehe 4 April 2025 katika ghala…

On air
Play internet radio

Recent posts

23 February 2026, 19:46

Moravian kujenga kanisa la thamani ya mil. 800

Kutumia wataalamu wenye weledi hasa katika ujenzi wa majengo kunaimarisha usalama zaidi. Na Hobokela Lwinga Mwenyekiti wa Jimbo la Mbozi,Kanisa la Moravian Mchungaji Lawrence Nzowa, amewataka wachungaji wa sharika zote ndani ya jimbo lake kuhakikisha wanatumia wataalamu wa ujenzi kutoka…

22 February 2026, 13:19

Mch. Nzowa: Wakarimuni wachungaji wenu shirikani

Kitabu cha Kutoka 20:24–26, ambapo Mungu alimwagiza Musa awajulishe Waisraeli wamjengee madhabahu ya udongo au mawe yasiyochongwa, na wasitumie ngazi kupanda juu yake,akiwa na Maana kwamba ibada ilipaswa kufanywa kwa unyenyekevu na usafi wa moyo, Hivyo, ujenzi wake ulionyesha kuwa…

19 February 2026, 08:46

Baraka FM yapewa tuzo utengenezaji maudhui ya mahakama

Kwa muda mrefu Baraka fM imekuwa ikitoa vipindi na taarifa mbalimbali zinazolenga kuelimisha jamii kuhusu sheria, taratibu za kimahakama na utoaji wa haki, hivyo kusaidia kuongeza uelewa wa wananchi na kuimarisha ushirikiano kati ya Mahakama na vyombo vya habari.‎‎Na Hobokela…

16 February 2026, 19:54

Moravian yapata mradi mpya,kuwagusa wanawake watoto wenye ulemavu na mabinti wan…

‎Kanisa la Moravian Jimbo la kusini magharibi limeendelea kutelekeza miradi mbalimbali inayofadhiliwa na shirika la mission 21.‎‎Na Hobokela Lwinga‎Kanisa la Moravian Jimbo la kusini magharibi kupitia idara ya udiakonia kwa mwaka 2026 imetambulisha mradi mpya uitwao Gender justice project utaokaofanyika…

15 February 2026, 18:03

Mwenyekiti Mch Simkwembe aahidi ujenzi ofisi mpya

Wachungaji na waumini watakiwa kushirikiana katika ujenzi wa miundombinu ya kanisa kwa hali na mali. Na Hobokela Lwinga Mwenyekiti wa kanisa la Moravian wilaya ya Mbeya mchungaji Greenwell Sinkwembe amewataka Wakristo katika wilaya yake kujitoa kwa ajili ya kazi ya…

9 February 2026, 09:49

Mch. Tinga apokelewa rasmi na mwenyekiti Moravian Uyole

Baada ya uchaguzi wa viongozi mbalimbali wakimewo wenyeviti wa wilaya katika kanisa la Moravian Jimbo la kusini magharibi na wewe kisha kupangiwa vituo vya kazi,wilaya ya uyole imempokea mwenyekiti wake. Na Hobokela Lwinga Rasmi mwenyekiti wa wilaya ya Uyole Kanisa…

6 February 2026, 19:29

Aga Khan, hospitali ya rufaa Mbeya kusaidia matibabu

Kutokana nachangamoto ya uwingi wa wahitaji wa matibabu katika jamii viongozi Afya waja na mwarobaini wa kutatua changamoto hiyo. Na Ezra Mwilwa Jitihada za kuendelea kutoa huduma bora kwa wananchi, Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya kwa Kushirikiana na hospitali…

About Baraka Fm

OVERVIEW

Baraka FM radio limited is a private owned profit media organization belonging to the Moravian church in Tanzania-South West Province. Its broadcasting house is located along Mahakama Street, Old forest Area in Mbeya and its transmitter installed at Kawetere Transmission site, 17KM along Chunya road. 

Baraka FM radio officially switched on November 2008 as the first religious radio station in Mbeya region with strong and trusted local customer brands.

More than two million people listen to Baraka FM radio, based on call in/messages as well as social media charts in the station per week.

COVERAGE AREA

Baraka FM covers 400KM radius area with strong physical presence across Mbeya region and Songwe region. Furthermore BFM has physical presence to some other parts of southern highland zones. In Njombe radio covers Makambako and Wanging’ombe districts, while in Iringa region BFM covers Mufindi as well as Kilolo districts),

Aside from area coverage above are, Baraka FM has a very strong online presence with a live online stream on its website www.barakafmradio.com and Application in a play store named Baraka FM radio 107.7 Mbeya, as well as powerful social media pages, Instagram and Facebook page.

VISION

A major and reliable radio station for the provision of quality evangelical messages, as well as basic information necessary and meaningful to individual household, and community development.

MISSION:

To provide listenership with media outlet that is committed to hearing and sharing the voices of its listenership

To produce radio programs that are educative, informative and entertaining, with regular reference to real life issues

To promote social cohesion among all members of the community within our catchment area

To provide messages of hope to heal the broken society

SOCIAL IMPACT

BFM Radio promotes social cohesion by facilitating dialogue between different sections of the community. It aims at providing a platform to bridge the gap between the voiceless and decision makers.

SLOGAN

Our slogan is “Voice of hope and salvation” which is unique among the local radio stations in that is targeted at the general audience rather than a specific demographic.

CORE VALUES

Christianity: We seek to provide high quality media services

Quality: We seek to provide high quality media services

Dynamism: We remain dynamic in responding to changing technology and other     changing global demand as long as there are not in conflict with the Moravian doctrine.

Professionalism: We are professional and transparent in all our dealings

Social responsibility:  We demonstrate that we are part of the society in which live by participating in societal activities

Integrity: We seek to recruit, develop and retain a team of high integrity

Respect:  We seek to treat all manner of people with respect

Impartiality: We seek to be fair to everybody

Diligence: We are hardworking and committed to the mission of the radio station

NUMBER OF STATION

At present BFM radio has two stations which are:

Broadcasting House (BH) comprising administration offices, news room, On –Air, Production and Recording studios

Transmission site (TX) comprising transmitter and Radio Tower (RT)

There are plans in the near future to establish a substation at Isyonje area to   strengthen signal reception in Rungwe, Kyela and Makete.

Baraka FM products:

  1. Live events coverage programs
  2. Daily business and financial news and adverts
  3. Political, social, human interest and economic news programs
  4. Daily sports package radio show
  5. Every day gospel music entertainment radio programs
  6. Religious and Bible knowledge  programs

DAILY PROGRAMMES:

From Baraka FM radio you can sponsor programs below for daily collection of customers for your business and commercial developments.

NURU YA ASUBUHI: At 06:00am to 10:00am, you are listen DW news, regional, national and international political news, social, sports and economic news contents as well as newspaper headings.

KIVULINI: Every day at 12:00PM to 2:00PM here you get and enjoy health education, delicious food preparation, greetings and house decoration education contents.

JARIDA: The program starts 10:00AM to 11:00AM, contains daily business, commercial, social, environmental, political, economic industrial as well as communication education. 

EDUCATION CORNER: Covers University and schools’ contents such as children psychology, behavior and language skills for both university, colleges and schools’ students. 

IJUE BIBILIA (KNOW THE BIBLE): It is one hour program, starts from 11:00PM to 12:00PM, the program containing bible knowledge

MUDA WETU: 2 hours program that contains, gospel music and news entertainments.