Baraka FM

Wananchi Tunduma wasisitizwa ulinzi shirikishi kulinda amani

22 February 2024, 20:48

Na Mwandishi wetu Songwe

Wananchi wa Kata ya Mwakakati Mjini Tundu ma Mkoani Songwe wam etakiwa kuendeleza ushir ikiano na Jeshi la Polisi katika kuhimarisha vikun di vya ulinzi shirikishi ili kuweka maeneo yao salama.

Rai hiyo ilitolewa Febr uari 21/2024 na Polisi Kata wa Kata ya Mwak akati Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Philipo Robert wakati alipokuwa anafan ya doria na kikundi cha ulinzi shirikishi kiitwacho NGUVU MOJA na kutoa elimu juu ya umuhimu wa ulinzi shirikishi katika maeneo ya vilabu vya pombe (Bar) ikiwa ni pamoja na nyumba za wageni (Guest houses).

Mkaguzi Robert aliwatak a wahudumu hao kuacha na na tabia ya kupita vich ochoroni wakati wanapo rudi nyumbani ambapo inapelekea kufanyiwa vitendo vya ukatili wa kijinsia na uhalifu.

Pia aliwasisitiza wahudu mu hao kuacha kujichu kulia sheria mkononi kwa wateja wakorofi pindi wa onapo hali hiyo katika maeneo yao watoe taari fa kituo cha Polisi kilic hopo karibu yao.

Mkaguzi Robert alihitim isha kwa kuwataka wahu dumu hao kuhakikisha wanawaandika taarifa za wateja wao kwenye vitab u na kutoa taarifa kwa Jeshi la Polisi pindi wao napo mteja amekuja na mtoto au mwanafunzi kwa lengo la kujistareh esha kingono ili kutoko meza vitendo hivyo.