Baraka FM

Mkuu wa mkoa wa Songwe agawa chakula na kula pamoja na wanafunzi

9 January 2024, 19:03

Na mwandishi wetu, Songwe

Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Dkt. Francis K. Michael Ameshiriki kugawa chakula na kula pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Uwanjani iliyopo Halmashauri ya Mji Tunduma

Mhe.Dkt. Michael, amefanya ziara hiyo ikiwa ni utekelezaji wa wa maagizo ya Waziri wa TAMISEMI, Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa ya kuhakikisha kila mkuu wa mkoa anashiriki kuona hali ya wanafunzi wanavyoripoti shuleni ambapo ametembelea shule za halmashauri ya Mbozi na Tunduma.

Aidha Mhe. Dkt Michael ameagiza shule zote za Mkoa wa Songwe kuhaki