Baraka FM

kipindi:Chanjo kwa watoto chini ya umri wa miaka nane ni mhimu kwa ajili ya kuwakinga na ugonjwa wa polio

20 September 2023, 16:51

Afisa chanjo Halmashauri ya Mbeya Christopher Mathias akiwa katika kipindi cha Nuru ya asubuhi akitoa elimu ya umhimu wa chanjo kwa watoto chini ya umri wa miaka nane(picha na Hobokela Lwinga).

Kama ilivyo ada katika jamii yetu mtoto akizaliwa tu hadi atakapofikisha umri wa miaka mitano lazima apatiwe chanjo za aina tofauti ili kumsaidia kumkinga na magonjwa mbalimbali ikiwemo ugonjwa wa polio