Baraka FM

Mwl. Haule: Kila mtu ana wajibu wa kuwaombea viongozi wa serikali

8 November 2023, 14:57

Mwalimu wa neno  la Mungu Baraka Haule (picha na Deus Mellah)

Jamii nchini imetakiwa  kuiombea serikali kuanzia ngazi ya chini hadi ya juu ili  ili iendelee kuongoza nchi vizuri na amani iendelee kutawala.

Na Deus Mellah

Wito huo umetolewa na mwalimu wa neno  la Mungu Baraka Haule wakati akizungumza na kituo hiki kuhusu umhimu wa jamii kuendelea kuendelea kuiombea serikali kuanzia ngazi ya chini hadi ya juu ili iendele kutawala kwa amani.

Haule amesema kuwa ili serikali iweze kuongoza vizuri na amani iendelee kutawala katika nchi ni wajibu wa kila mtanzanii kuiombea

Pia mwalimu Haule amesema   jamii inatakiwa kuhakikisha inapinga matukio mbalimbali ya uhalifu kwani yanarudisha mendeleo katika taifa.

Mwalimu wa neno  la Mungu Baraka Haule (picha na Deus Mellah)
Sauti ya mwalimu wa neno  la Mungu Baraka Haule

Mmoja wa wakristo mkoani mbeya Loth Chomo amesema kuwa kuwa  kuna umhimu mkubwa wa  viongozi wa dini kuendelea kuiombea serikali na kuiunga mkono katika kila wanalolifanya.

Mmoja wa mkristo mkoani mbeya Loth Chomo(picha na Deus Mellah)
Sauti ya Mmoja wa wakristo mkoani mbeya Loth Chomo