Baraka FM

Mwenyekiti CCM Mbeya atoa maagizo waliovamia ardhi ya chama kukiona

22 March 2024, 19:39

Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi CCM Mkoa wa Mbeya(katikati)

Chama cha mapinduzi mkoa wa Mbeya kimeanza kurudisha mali zote zilizochukuliwa kinyume na utaratibu wa sheria.

Na Ezra Mwilwa

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), mkoa wa Mbeya Patrick Mwalunenge amewapa siku Saba wale wote waliovamia eneo la shamba la chama hicho lililopo katika wilaya ya Mbeya mjini kata ya Ilemi mkoani humu.

Sauti ya mwenyekiti wa CCM Mbeya Patrick Mwalunenge

Mwalunenge ametoa maagizo hayo mara baada ya kufanya ziara ya kushitukiza katika kata hiyo na kuwa taarifa ya eneo hilo.

Mwenyekiti wa Ccm Mbeya Patrick Mwalunenge (katikati)

Mwenyekiti huyo amesema atahakikisha anakagua Mali zote za chama hicho zilizopo mkoa mwake kwa lengo la kuzilinda na kuzisimamia Kwa maslahi

Sauti ya Mwenyekiti wa Ccm akitoa maagizo ya siku saba