Baraka FM

PM Majaliwa awasili Mbeya kufungua chuo kikuu CUoM

16 January 2024, 12:00

Na Hobokela Lwinga

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh: Kasim Majaliwa tayari amewasili katika Uwanja wa Kimataifa Songwe ulioko Mkoani Mbeya kwaajiri ya Kushiriki Hafla ya Ufunguzi wa Chuo Kikuu Cha Kikatoloki Mbeya(CUoM).

Waziri Mkuu amepokelewa na Mwenyeji wake Cde: Juma Homera Mkuu wa Mkoa wa Mbeya na Viongozi Mbali mbali wa Chama, Serikali na Uongozi wa Chuo Cha CUoM ukiongozwa na Mkuu wa Chuo hicho Profesa Haule.