Recent posts
6 December 2024, 19:11
Wazazi watakiwa kutowaozesha wanafunzi badala yake wawaendeleze kielimu
Kutokana na baadhi ya watoto kushindwa kufanya vizuri katika masomo yao katika ngazi ya Elimu ya msingi na sekondari wazazi waazwa kuto kuwaozesha bari wawapatie nafasi ya kwenda kusomea fani mbalimbli katika vyuo vya kati na vyuo vikuu. Na Hobokela…
6 December 2024, 18:47
DSW yatoa mafunzo kwa Vijana,walimu na watalaamu wa afya chunya
katika kuhakikisha sauti za vijana zinasikika ili kutokomeza ukatili wa kijinsia na kuwapatia huduma rafiki kwa afya ya vijana viongozi wa shirika la DSW Tanzania wamewakutanisha vijana,walimu na wataalamu wa afya Chunya mkoani Mbeya. Na Lukia Chasanika Vijana,walimu na wahudumu…
5 December 2024, 20:27
Free Pentecost Tanzania (FPCT) Jimbo la Mbeya lapata askofu mpya
Katika kuhakikisha huduma ya Mungu inafanyika kwa ubora na mwongozo mzuri lazima kuwepo na kiongozi wa kanisa, hivyo kanisa the Free Pentecost Tanzani (FPCT) Mbeya wamechagua Askofu wa jimbo hilo. Na Yuda Joseph Mkutano mkuu kupitia tume ya uchaguzi ya…
3 December 2024, 06:48
CBE yapongezwa na serikali kutoa Elimu bora ya uchumi
Katika kuhakikisha vyuo vinaendelea kutoa Elimu bora Naibu Waziri wa viwanda na biashara Mheshimiwa Exaud Kigahe amepongeza juhudi zinazo fanywa na wakufunzi wa chuo cha elimu ya biashara nchini CBE. Na Kelvin Lameck Serikali imesema inatambua na kuthamini mchango wa…
2 December 2024, 14:53
Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini yaongoza maambukizi ya Ukimwi
Jamii inapaswa kuwa chachu ya mabadiliko ya mapambano ya Ukimwi kwa kutoa elimu kwa kizazi cha sasa na cha badae. Na Ezekiel Kamanga Hospitali ya Rufaa Kanda Mbeya (MZRH) imefanya maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani kwa kutoa elimu ya…
2 December 2024, 14:17
Ujerumani, kanisa la Moravian kushirikiana kutekeleza miradi ya maendeleo
Ushirikiano ni jambo zuri ambalo linaleta matokeo chanya na ili uweze kufanikiwa unapaswa kuwa na ushirikiano na wengine,wanasema “kidole kimoja hakivunji chawa.” Na Kelvin Lameck Uongozi wa Kanisa la Moraviani Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi umesema utaendelea kusimamia kwa uaminifu…
2 December 2024, 09:51
Mwanaume auawa kwa kukatwakatwa, kupigwa mawe Mbeya
katika Hali isiyo ya kawaida mwili wa mtu umeokotwa mtaani akiwa amefariki. Na Deus Mellah Mtu mmoja jinsia ya kiume anaekadiliwa kuwa na umri wa miaka 22 Hadi 25 amekutwa ameuawa kwa kupigwa na mawe na mwili wake kukatwa katwa…
30 November 2024, 13:10
Mchungaji Barthromeo Mahenge kanisa la Moravian afariki dunia
Duniani ni njia ambayo Kila aliyepewa pumzi ya kuishi na Mungu ni lazima apite na katika kulijua Hilo tunapaswa kujiandaa kimwili na kiroho kwa maisha yetu kuishi kwa kumpendeza Mungu ajuaye kesho ya Kila mtu maana yeye ndiye anayetoa na…
26 November 2024, 08:19
Mhandisi Mahundi anadi wagombea CCM Mbeya
Tanzania inakwenda kufanya uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na viongozi Novemba 27, 2024 ambao unatoa fursa ya wananchi kuwachagua viongozi wanaowataka. Na Ezekiel Kamanga Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ambaye pia ni Mbunge wa Viti…
26 November 2024, 05:49
Moravian Mbozi yatoa ushirikiano wa utendaji Jimbo la Magharibi
Ili uwe Bora ni lazima ukubali kujifunza kwa wengine hii ndio maana halisi ya mafanikio katika nyanja mbalimbali katika maisha. Na Deus Mellah kanisa la Moraviani Tanzania jimbo la magharibi Tabora wamefanya ziara ya kujifunza mfumo rafiki wa kuinua mapato…