Baraka FM
Baraka FM
29 May 2025, 19:16

wakristo watakiwa kuacha kuwanyanyapaa watu wanaoishi na maambukizi ya virusi vya ukimwi
Na Ezra Mwilwa
wito huo umetolewa na Askofu Robert Pangani amesema wameandaa mafunzo hayo yanayolenga kusaidia jamii zetu kuepukana na ongezeko la maambikizi mapya ya maambikizi mapya.

katibu wa Idara ya Udiakonia Ndg Eliud Mahenge amesema wao kama idara wameona umuhimu wakuaanda semina hivyo ili kuelimisha kupunguza maambukizi mapya katika jamii

mkufunzi Lulu Mpenja amesema kunawezekano wakupunguza maambikizi mapya pia kwa watu walio athirika waendelee kufuata miongozo iliyo wekwa nawataalamu wa Afya
