Recent posts
7 October 2024, 09:35
Watu kadhaa wanahofiwa kufa, kujeruhiwa ajalini Mbeya
Jinamizi la ajali bado limeendelea kuutesa mkoa wa Mbeya kutokana na matukio hayo ambayo yametokea mfululizo hivi karibuni. Na Ezekiel Kamanga Ajali iliyohusisha mabasi mawili ya kampuni ya Kapricon Express na Premier Line yamegongana uso kwa uso eneo la Sae…
5 October 2024, 09:55
Mahakama Kuu Tanzania Kanda ya Mbeya yazindua mahakama inayotembea
Wakati jamii ikihitaji kupata huduma za ukaribu kwenye maeneneo yao,mahakama kuu ya Tanzania imeanza kutoa huduma hiyo kwa kutoa huduma kupitia gari ambayo itazungunguka kwenye maeneo yao. Na Deus Mellah Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Mbeya imezindua mahakama inayotembea…
4 October 2024, 13:09
Sekondari mpya Mufindi kupewa huduma za maji,umeme
katika kuweka Mazingira mazuri ya elimu Jamii inapaswa kushiriki kikamilifu katika kujenga ustawi Bora wa elimu nchini. Na Rukia Chasanika,Mufindi Iringa Naibu waziri wa viwanda na biashara na mbunge wa jimbo la Mufindi kaskazini Exaud Kigahe ameahidi kuweka maji na…
4 October 2024, 10:56
Askofu Pangani kuzindua ofisi za kanisa la Moravian wilaya ya Mbalizi
Kanisa la Moravian Tanzania limekuwa na Utaratibu wa kuhahakisha majimbo na wilaya zake kuwa na makao makuu na kujenga ofisi bora ili kuongeza ufanisi wa utendaji kazi wa huduma za kiroho kwa ustawi wa kanisa. Na Hobokela Lwinga Kanisa la…
1 October 2024, 07:30
Jiji la Mbeya la tangaza urejeo wa mikopo ya asilimia 10
Wafanya biashara wadogo maarufu kama Machinga wametakiwa kutumia fursa za mikopo ya halmashauri na ile ya kimachinga inayo tolewa na serikali.Wito huo umetolewa na Afisa Maendeleo Jiji la Mbeya Deus Mhoja katika mkutano na wamachinga kilichofanyika ukumbi wa shule ya…
30 September 2024, 15:34
Wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi jiji la Mbeya wajengewa uwezo
Maandalizi kuelekea uchaguzi wa serikali mitaa ambapo tayari elimu imeanza kutolewa kwa wasaidizi wa wasimamizi wa uchaguzi huo. Deus Mellah Halmashauri ya jiji la Mbeya imetoa mafunzo kwa Wasimamizi Wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya kata kuhusu kanuni na taratibu za…
29 September 2024, 17:03
Wazee waziomba halmashauri kuwapatia ofisi kuendesha shughuli zao
Uwepo wa dawati la baraza la wazee kwa ngazi ya taifa, mkoa, wilaya na kata wazee wameomba serikali kuwapatia ofisi. Na Ezra Mwilwa Katika kuelekea kilele cha kuadhimisha siku ya wazee duniani tarehe 01 Oktoba, wazee mkoani Mbeya wamekutana kuadhimisha…
28 September 2024, 00:06
Watu 11 wafariki 20 wajeruhiwa ajali nyingine Mbeya
Wimbi la ajali limeendelea kuukumba mkoa wa Mbeya ambapo kwa mwezi wa tisa pekee zimetokea ajali tatu. Na Hobokela Lwinga Watu 11 wamefariki dunia baada ya gari lenye namba za usajili T.601 CFS Lori aina ya Mitsubishi Fuso walilokuwa wamepanda…
26 September 2024, 20:22
Viongozi kanisa la Moravian Tanzania washiriki mkutano mkuu wa dunia
Katika kudumisha na kuendeleza Injili kupitia kanisa la Moravian duniani kunalifanya kanisa hilo kuwa na mikutano ya pamoja. Na Hobokela Lwinga Wenyeviti wa majimbo yanayounda kanisa la Moravian Tanzania wameshiriki mkutano Mkuu wa kanisa la Moravian duniani unaofanyika katika visiwa…
24 September 2024, 15:16
Ken Gold yapania kuifunga Yanga uwanja wa Sokoine Mbeya
Ligi kuu Tanzania bara yaani NBC premier league inatarajiwa kuendelea kesho katika uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya kwa wenyeji Ken Gold kuwa kuwakaribisha Yanga kutoka Dar es salaam. Na Ezekiel Kamanga Mchezo Ligi ya NBC utaozikutanisha timu ya Ken Gold…