Recent posts
29 January 2024, 18:39
Mafanikio mapya hospitali ya rufaa Kanda ya Mbeya
Na Ezekiel Kamanga Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Mbeya jana imefanya hafla fupi ya kuwakaribisha madaktari bingwa na wauguzi ambao walikuwa masomoni. Hafla hiyo iliandaliwa katika bustani ya Mbeya Peak na kuhudhuriwa na viongozi wa hospitali na wafanyakazi wa…
29 January 2024, 18:09
Wanahabari wajengewa uwezo matumizi takwimu za sensa ya watu, makazi
Na Hobokela Lwinga Kamisaa wa Sensa nchini Anne Makinda amesisitiza waandishi wa habari kutumia matokeo ya takwimu za sensa ya watu na makazi kwa usahihi ili kuandika habari zenye ubora na usahihi zitakazosaidia katika kuleta maendeleo kwa wananchi. Makinda ameyasema…
26 January 2024, 21:45
Mwalimu mbaroni kwa tuhuma za unyang’anyi Mbeya
Na mwandishi wetu Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa watatu akiwemo Mwalimu wa Shule ya Msingi Mwaselela Azimio Gerald [31] Mkazi wa ZZK mji mdogo wa Mbalizi na wenzake wawili Furaha Issa [32] na Goodluck Mwakajisi [25] wote…
23 January 2024, 18:19
Mwananchi asombwa na maji Songwe, mwili haujulikani ulipo
Na Deus Mellah Mtu mmoja anayejulikana kwa jina la Kanary Jaribu Haonga mwenye umri wa miaka 26 mkazi wa kitongoji cha Iwagamoyo kata Itumpi mkoani Songwe amesombwa na maji wakati akijaribu kuvuka mto Mlowo eneo la kijiji cha Iyenga ni…
23 January 2024, 17:28
CCM Songwe yawapongeza viongozi wa serikali kwa utekelezaji wa miradi ya maendel…
Na mwandishi wetu, Songwe Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Songwe imewapongeza viongozi wa Serikali Ngazi ya Mkoa na Halmashauri, Chama na taasisi za Serikali na ofisi ya Mbunge wa Jimbo la Songwe kwa usimamizi na…
23 January 2024, 17:14
Chakula cha mchana kwa wanafunzi kinavyoleta tija katika ufundishaji
Na Hobokela Lwinga Halmashauri ya wilaya ya Rungwe kwa kushirikiana na wazazi imeendelea na Mpango wake kuhakikisha kila Mwanafunzi anapata chakula cha mchana kwa siku zote za masomo. Uongozi wa shule ya Msingi Masebe na Mpuguso zilizopo Ushirika (Kata ya…
23 January 2024, 09:06
Hospitali ya rufaa Mbeya yatoa mafunzo kwa watumishi wa wagonjwa wa dharula ICU
Na mwandishi wetu Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Rufaa Mbeya, Bi Myriam Msalale, leo amefungua rasmi mafunzo ya msingi ya huduma za dharura kwa watumishi wa wodi maalum ya wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalumu (ICU). Lengo la mafunzo haya ni…
23 January 2024, 08:43
Nchi 17 kufanya utafiti zao la mpunga nchini
Na mwandishi wetu Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Cde. Juma Zuberi Homera amefungua Mkutano wa Afrika ambao umeandaliwa na Tasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa zao la Mpunga Internation Rice Research Institute (IRRI) na Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania…
22 January 2024, 19:30
Dkt. Tulia atoa msaada wa vifaa vya shule kwa wanafunzi jijini Mbeya
Na Ezra Mwilwa Taasisi ya Tulia Trust inayoingonzwa na Dkt.Tulia Akson Mwansasu Mbunge wa Mbeya Jiji, Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzani ambaya pia Rais wa Mabunge yote Duniani ametoa msaada wa vifaa vya shule kwa wanafunzi…
18 January 2024, 20:59
Rungwe DC yakamilisha ujenzi nyumba za watumishi
Na Hobokela Lwinga Halmashauri ya wilaya ya Rungwe imekalisha ujenzi wa nyumba ya watumishi (two in one) katika shule ya sekondari Msasani one kwa gharama ya shilingi million 100. Fedha hii imetolewa na serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na…