Recent posts
1 February 2024, 17:47
Watalaam wa afya wasisitiza uwepo wa choo bora kwa kila kaya
Na Hobokela Lwinga Timu ya watalamu wa afya imefanya ziara katika taasisi mbalimbali ikiwemo maeneo ya kutolea huduma za jamii lengo likiwa ni kukagua usafi wa mazingira, Kukagua muda wa matumizi ya dawa na usalama mahali pa kazi. Katika ziara…
1 February 2024, 17:36
Chunya yafanikiwa kujenga na kukamilisha miradi ya maendeleo
Na Hobokela Lwinga Wilaya ya Chunya mkoani mbeya imesema kwa miaka mitatu kuanzia mwaka 2021-2023 imefanikiwa kujenga jengo la utawala lenye thamani ya Zaidi ya billion mbili. Akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika mkutano na waandishi wa…
1 February 2024, 17:12
Mch. Mbazzah astaafu, aagwa na Baraka fm radio
Na Hobokela Lwinga Kituo cha redio Baraka kimemuaga mfanyakazi wake mchungaji Nehemia Mbaza baada ya kustaafu kukitumikia kituo hicho kwa muda wa miaka 13. Hafla ya kumuuaga mchungaji huyo imefanyika katika ukumbi mdogo wa chuo cha ufundi moravian uliopo kadege…
1 February 2024, 09:06
Bi. Mdidi: Epukeni rushwa, fuateni sheria za utumishi wa umma
Na mwandishi wetu Kaimu Mweka hazina Halmashauri ya wilaya ya Rungwe Bi. Kijakazi Mdidi ameongoza kikao cha watumishi wapya (Ajira ya Mkataba) katika sekta ya mapato lengo likiwa ni kuwajengea uwezo sambamba na kuwapa maelekezo dhidi ya namna bora ya…
1 February 2024, 08:51
Bilioni 30 kukamilisha miradi ya maendeleo halmashauri ya Momba
Na mwandishi wetu, Songwe Katika ripoti yake iliyosheheni utekelezaji wa miradi mingi na yenye thamani kubwa, Mkurugenzi amebainisha kuwa katika kipindi cha uongozi wa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan Halmashauri ya Wilaya ya Momba imepokea fedha zaidi ya Bilioni 30 ambazo…
31 January 2024, 19:14
Matinyi: Shirikianeni na vyombo vya habari kueleza kazi zinazofanywa na serikali
Na Hobokela Lwinga Mkuu wa mkoa wa Mbeya Juma Zuberi Homera amesema jengo jipya liliojengwa na serikali katika hospitali ya wazazi Kanda ya Mbeya “Meta“Â linahudumia zaidi ya wanawake wajawazito 200. Hayo yamebainishwa katika mkutano na waandishi wa habari uliondaliwa…
31 January 2024, 10:20
Taasisi ya takwimu Tanzania NBS kuboresha mfumo wa takwimu mtandao
Na Hobokela Lwinga Kamisaa wa zoezi la Sensa na makazi ya watu ya mwaka 2022 ambaye pia ni Spika Mstaafu wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda amesema kuna mkakati wa kuboresha mfumo kwa ajili ya ukusanyaji…
31 January 2024, 09:54
Askofu Pangani: Kuweni waadilifu msimwangushe Rais
Na Hobokela LwingaViongozi waliopo kwenye taasisi za umma wametakiwa kuwa waaminifu na waadilifu katika utekelezaji wa majukumu yao ili kutokumuuangusha mheshimiwa Rais katika mipango yake ya kuongoza nchi. Wito huo umetolewa na Askofu mteule mchungaji Robert Yondam Pangani wakati akihitimisha…
31 January 2024, 08:39
Wizara ya Maji yaishukru UNICEF
Na Ezekiel Kamanga Naibu Waziri wa Maji Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) amefanya mazungumzo na Mwakilishi Mkazi mpya wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Wanawake na Watoto Duniani (UNICEF) nchini Tanzania Bi. Elke Wisch. Mazungumzo yamefanyika katika ofisi za…
30 January 2024, 17:38
Kamati zote zijengewe uwezo usimamizi miradi
Na mwandishi wetu Mkuu wa wilaya ya Chunya Mrakibu Mwandamizi wa Uhamiaji Mhe. Mbaraka Alhaji Batenga ameagiza kamati zote za ujenzi zinazosimamamia Miradi mbalimbali ya Ujenzi wilayani Chunya zijengewe uwezo wa kusimamia miradi husika ili watakapokiuka maelekezo waweze kuchukuliwa hatua…