Recent posts
20 February 2024, 16:08
Biteko aridhishwa ujenzi wa miradi ya umeme
Na Hobokela Lwinga Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Dotto Biteko amefanya ziara leo tarehe 20.2.2024 na kukagua miradi ya uendelezaji wa umeme wa joto ardhi katika eneo la Kyejo Mbaka pamoja na Ngosi ikiwa…
20 February 2024, 10:42
Naibu Waziri Mkuu awasili Mbeya kwa ziara ya siku mbili
Na Hobokela Lwinga Naibu Waziri Mkuu na Waziri Wa Nishati Mh, Dkt. Dotto Biteko amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Songwe na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera tayari kwa kuanza ziara yake ya kikazi ya…
20 February 2024, 10:38
Chuo kikuu TEKU chafanya ibada ya kumshukru Mungu
Na Ezra Mwilwa Kanisa la Moravian Tanzania Ushirika wa Teku wamefanya Ibaada maalumu kwaajiri ya kumshukuru Mungu juu ya Chuo kikuu Teofilo Kisanji kuendelea kukua na kutunukiwa hadhi kubwa ya vyuo vikuu Nchini. Katika ibada hiyo imehudhuriwa na Askofu Mteule…
19 February 2024, 09:54
Naibu Waziri Maji kushiriki mkutano wa 13 wa ubunifu wa teknolojia za maji
Na mwandishi wetu, London Uingereza Naibu Waziri wa Maji, Mheshimiwa Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) amewasili Nchini Uingereza, kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 13 wa ubunifu wa Teknolojia za maji kwa Mwaka 2024( World Water-Tech Innovation Summit) akimuwakilisha Waziri wa…
15 February 2024, 15:37
Viongozi wa dini Mbeya kuadhimisha maridhiano day kwa kufanya kazi za kijamii
Na Hobokela Lwinga Kuelekea katika kilele cha siku ya maridhiano nchini ambayo kitaifa inatarajiwa kufanyika mkoani mbeya,viongozi wadini wameanza kufanya shughuli mbalimbali za kijamii ikiwemo upandaji miti,uchangiaji wa damu pamoja na utoaji elimu ya kupinga ukatili wa kijinsia. Akizungumza katika…
14 February 2024, 21:42
DC Songwe asimamisha mchakato utoaji leseni mlima Elizabeth
Na Ezekiel Kamanga,Songwe Mkuu wa Wilaya ya Songwe mkoa wa Songwe Solomon Itunda amesimamisha mchakato wa utoaji leseni ulioanza kutolewa eneo la Bafex lililopo mlima Elizabeth kata ya Saza wilaya ya Songwe mkoa wa Songwe. Itunda amechukua hatua hiyo katika…
14 February 2024, 21:16
Ubovu wa magari wasababisha kuzorota kwa huduma za afya kwa wananchi Mbeya
Na mwandishi wetu Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Cde: Juma Homera amewataka Madreva wa Magari ya Serikali kuyatunza Vyema na kujiepusha na Matumizi mabovu ya Barabara ikiwemo Kutembea Mwendo Mkali na kutojali alama za Barabarani Hali inayolelekea Ajali zisizo na…
13 February 2024, 18:59
Makala: Siku ya maadhimisho ya radio Duniani
Ikiwa leo ni siku ya radio duniani jamii imesema inatambua mchnago mkubwa wa tasinia hiyo katika kukuza mawasiliano,utoaji wa taarifa,elimu na hata burudani.
13 February 2024, 14:41
Serikali kuendelea na utafiti wa maji ardhini
Na mwandishi wetu, Dodoma Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Maryprisca Mahundi amesema Serikali inaendelea na zoezi la utafiti wa maji ardhini pamoja na uchimbaji wa visima 13 katika Jimbo la Buchosa Wilayani Sengerema. Mahundi ameyasema hayo leo Februari 13 2024,…
13 February 2024, 08:38
Jeshi la polisi Mbeya latakiwa kufanya kazi kwa weledi
Na Hobokela Lwinga Jeshi la polisi mkoani Mbeya wametakiwa kufanya kazi kwa weledi na kumtanguliza Mungu ili kufikia malengo ya jeshi na taifa kwa ujumla. Hayo yamesemwa na Kamishna Mstaafu wa Jeshi la Polisi SACP Robert Mkisi amewaasa alipotembelea Mkoa…