Recent posts
27 February 2024, 19:45
Dc Batenga; Wanafunzi Chunya mna deni la kulipa kwa Rais
Na mwandishi wetu Mkuu wa Wilaya ya Chunya Mrakibu Mwandamizi wa UhamiajI Mhe. Mubaraka Alhaji Batenga amesema kuwa wanafunzi wilaya ya Chunya wana deni kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kwa matokeo ya…
27 February 2024, 19:34
Dc Batenga amtaka mkurugenzi kuhakikisha klabu zote mashuleni zinakuwa na walimu…
Na Mwandishi wetu Mkuu wa Wilaya ya Chunya Mrakibu Mwandamizi wa Uhamiaji Mhe. Mubarak Alhaji Batenga amemwagiza Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Chunya ndugu Tamim Kambona kuhakikisha Klabu zote zilizopo Mashuleni zinakuwa na walimu walezi pamoja na kuhakikisha wanajengewa…
27 February 2024, 19:12
Mahundi akusanya 50m ujenzi wa kanisa KKKT Sinai Mbeya
Na Hobokela Lwinga Naibu Waziri wa Maji ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya Mhandisi Maryprisca Mahundi ameongoza harambee ya ujenzi wa Kanisa la Kiiinjili la Kilutheri Tanzania(KKKT)Dayosisi ya Konde Usharika wa Sinai Jijini Mbeya ambapo amechangia…
27 February 2024, 18:57
SACP atembelea Ofisi za mkoa wa Songwe na kukutana na mwenyeji wake mkuu wa mkoa
Na Mwandishi wetu Songwe. Mkuu wa Mkoa wa Songwe ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama Mkoa Dkt. FRANSIS MICHAEL amempongeza Kamanda wa Polisi Mkoani humo kwa kupandishwa cheo hivi karibuni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na…
22 February 2024, 20:48
Wananchi Tunduma wasisitizwa ulinzi shirikishi kulinda amani
Na Mwandishi wetu Songwe Wananchi wa Kata ya Mwakakati Mjini Tundu ma Mkoani Songwe wam etakiwa kuendeleza ushir ikiano na Jeshi la Polisi katika kuhimarisha vikun di vya ulinzi shirikishi ili kuweka maeneo yao salama. Rai hiyo ilitolewa Febr uari…
22 February 2024, 20:42
Homera aongoza kikao kamati ya ushauri mkoa wa Mbeya
Na Mwandishi wetu Leo February 22, 2024 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Cde: Juma Z Homera ameongoza Kikao Cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Mbeya(RCC) kilicholenga kujadili, kushauri na Kutoa Mapendekezo juu ya Namna bora ya kutatua baadhi ya…
22 February 2024, 17:35
Bodaboda Mbeya wagoma, wavamia ofisi za jiji
Na Ezra Mwilwa Umoja wa madereva bodaboda mkoa wa Mbeya wamefanya maandamano katika ofisi za jiji kuomba kusikilizwa kero zao ikiwepo kukamatwa na kutozwa faini wawapo barabarani. Mwenyekiti wa umoja huo Ndg. Aliko Fuanda amesema wamekuwa wakikamatwa pindi wanapoingia soko…
22 February 2024, 16:57
Mercy World Organization yawa faraja kwa wanyonge
Na Hobokela Lwinga Wadau, mashirika na watu binafsi wameombwa kujitokeza kusaidia makundi maalum ikiwemo yatima ili kupunguza changamoto mbalimbali zinazowakabili. Wito huo umetolewa na mwenyekiti wa bodi ya taasisi isiyo ya kiserikali ya Mercy World Organization MEWO Subira Mwasamboma na…
22 February 2024, 15:09
LHRC yatembelea kituo cha redio Baraka Jijini Mbeya
Na Hobokela Lwinga Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dkt. Anna Henga ametembelea Radio Baraka Fm iliyopo jiijini Mbeya.Dkt. Henga amepata wasaa wa kujifunza namna ambavyo kituo hicho kinavyoendesha shughuli zake za kuwapatia elimu wasikilizaji…
22 February 2024, 14:59
CPA. Cecilia Kavishe amefanya kikao na timu ya menejimenti ya Shule ya Sekondari…
Na mwandishi wetu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songwe, CPA. Cecilia Kavishe amefanya kikao na timu ya menejimenti ya Shule ya Sekondari ya Maweni kujadili namna bora ya kuendesha shule hiyo, kuimarisha mahusiano na kusikiliza changamoto za shule…