Baraka FM
Baraka FM
13 October 2025, 21:56

Katika juhudi za kuunga mkono Serikali ya Awamu ya 6 inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika sekta ya Afya TAKUKURU waguzwa na watoto njiti.
Na Ezra Mwilwa
Taasisi ya kupambana na kuzuia Rushwa(TAKUKURU) mkoa wa Mbeya imekabidhi mashine mbili za kisasa za huduma kwa watoto wachanga wanaozaliwa kabla ya muda, maarufu kama watoto njiti, katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya.

Akizungumza wakati wa hafla hiyo, Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Cryic Chami, alisema: “Ni wajibu wetu kuunga mkono juhudi za Serikali za kuboresha huduma za afya kwa wananchi.
Dkt. Godlove Mbwanji, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Mbeya rufaa Kanda ya Mbeya amesema maada huo utawadaidia sana kutokana na kuhudumia mikoa saba
Nar Dkt. Nazareth Mbilinyi wamesema msaada huu utaongeza uwezo wa utoaji huduma kwa timu ya wauguzi na madaktari waliobeba majukumu makubwa ya kuokoa maisha ya watoto wachanga.