Baraka FM
Baraka FM
16 January 2024, 19:45

Na Hobokela Lwinga
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kasim Majaliwa ameondoka Mkoani Mbeya baada ya Kushiriki Hafla ya Ufunguzi wa Chuo Kikuu Cha Kikatoloki Mbeya (CUoM) Leo January 16 2024.

