Recent posts
18 September 2023, 20:14
Toeni ushirikiano watoto wapate chanjo ya polio
Msingi wa binadamu ni afya na unapo kuwa na afya ni lazima uilinde,katika maisha ya binadamu yeyote wakati anazaliwa ni lazima apewe ulinzi wa afya yake kwa kupatiwa chanjo ya magonjwa mbalimbali,hivi karibuni serikali imekuwa na msisitizo wa kila mtanzania…
18 September 2023, 19:47
Homera: Epukeni matumizi ya simu wakati wa kutoa huduma kwa wagonjwa
Kufanya kazi kwa weledi ni sehemu ya binadamu anayejitambua na kutambua nafasi yake na ukitaka kupongezwa ni lazima uoneshe weledi wa kazi yako, ishi ukijua maisha yako yanategemea maisha ya mwingine. Na Mwandishi wetu Mkuu wa mkoa wa Mbeya Comrade…
18 September 2023, 19:14
TADIO yapongezwa, yaombwa kuongeza wigo zaidi elimu kwa wanahabari
Kila binadamu anapaswa kuwa na utu na binadamu asiyekuwa na utu hawezi kuona wema anaotendewa, unapofanyiwa jambo lenye utu unapaswa kuwa na shukrani na ndivyo ilivyo pia msisitizo katika vitabu vitakatifu vya dini. Na Hobokela Lwinga Wahariri na wakuu wa…
15 September 2023, 22:46
Mbeya kuanza kutoa chanjo ya polio kwa watoto chini ya umri wa miaka 8
Wanasema kinga ni bora kuliko tiba,ili uweze kuwa salama huna budii kukubaliana na ushauri wa wataalamu wa afya unaopatiwa juu ya afya yako.kila binadamu tangu kuzaliwa kwake lazima apewe chanjo ili kuweza kuimarisha afya yake, hali hiyo ukiwa kama mzazi…
14 September 2023, 20:00
Tupo tayari kuboresha utalii nchini -REGROW
Wahenga wanasema jasiri haachi asili hivyo ndivyo unaweza kusema kutokana na kile ambacho kimekuwa kikifanywa na wizara ya maliasili na utalii nchini Tanzania kutokana na kudumisha mila na destri ya mtanzania hasa katika kuenzi ngoma za asili na vyakula kwa…
14 September 2023, 18:40
Vijana jengeni mazoea ya kumtumikia Mungu na kusoma neno lake
Kanisa ni moja ya taasisi nyeti ambayo ipo katika kuwajenga waumini wake kumjua Mungu na kumtumikia,kutokana na hali hiyo kanisa la Moravian limekuwa na utaratibu wa kuandaa mikutano ya kila idara ili kuwakutanisha waumini kubadilishana vipawa kutokana na rika zao.…
14 September 2023, 13:39
Zimamoto Mbeya yawafikia wafanyabiashara sokoni na kutoa elimu ya kuzima moto
Elimu ni msingi wa kuongeza maarifa na ili uwe na amaarifa huna budi kuifunzz kwa waliofanikiwa kutkana na umhimu wa elimu jeshi la zimamoto haliko mbali na wananchi katika kuwapatia elimu pasipo kubagua rika,rangi,kabila wala umbo la mtu. Na Ezra…
13 September 2023, 18:43
Umeme waleta mgao wa maji mkoani Mbeya
Maji ni uhai, viumbe wote hai wanategemea maji hata nje ya viumbe hai bado kumekuwa na uhitaji wa maji,nchi ya Tanzania imekuwa ikitegemea maji kuzalisha nishati ya umeme hivyo maji ni kila kitu kwenye shughuli yoyote ya binadamu. Na Hobokela…
13 September 2023, 13:38
Wananchi Mbeya wahimizwa kutunza mazingira kuongeza uzalishaji wa maji
Maisha ya binadamu yeyote duniani kote yanategemea mazingira na mtunzaji wa mazingira ni binadamu mwenyewe hivyo basi ni wajibu kutunza mazingira ili kuepukana na athari za mabadiliko ya tabia ya nchi. Na Hobokela Lwinga Kiongozi wa mbio za Mwenge wa…
12 September 2023, 12:39
Wananchi Mbeya washauriwa kutunza mazingira ili kuepukana na athali ya mabadilik…
Uharibifu wa mazingira duniani kote umekuwa na athali hasi zinazosababisha mabadiliko ya tabia ya nchi,na hivi karibuni tumeshuhudia athali hizo ikiwemo upungufu wa mvua Na Hobokela Lwinga Wananchi mkoani mbeya wameshauriwa kuwa mabalozi wazuri wa utunzaji wa mazingira ili kulinda…