Recent posts
4 November 2023, 00:14
Polisi Mbeya yakanusha kukamatwa kwa wakili Mwabukusi na Mdude Nyagali
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa zisizo rasmi kuwa Wakili Boniface Mwabukusi na Mdude Nyagali wamekamatwa na Polisi wakiwa na baadhi ya waandishi wa habari. Na Hobokela Lwinga Taarifa hizo ni za upotoshaji, hazina ukweli…
3 November 2023, 23:20
Zaidi ya bilioni 1.8 zatolewa vijiji 16 vinavyopakana na hifadhi ya Ruaha mradi…
Dhamira ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ya kuwainua wananchi kiuchumi kupitia Mradi wa Kuboresha Usimamizi wa Maliasili na Kukuza Utalii Nyanda za juu Kusini (REGROW) inapaswa kuungwa mkono na wanavikundi vyote vilivyowezeshwa…
3 November 2023, 22:58
Uhasibu ndaki ya Mbeya yazalisha wahitimu Zaidi ya 2000 kada mbalimbali
Jumla ya wahitimu elfu mbili mia moja kumi na nne wa kada mbalimbali za Taasisi ya Uhasibu Ndaki ya Mbeya wametunukiwa vyeti vyao ikiwa ni Mahafali ya ishirini na moja nchini na ya kumi na moja kampasi ya Mbeya mgeni…
3 November 2023, 22:21
Bodaboda wengi siku hizi wanapenda mizigo,halafu hamuwi na mzigo mmoja
Mkuu wa Wilaya ya Songwe Mkoani Songwe Mhe. Solomon Itunda, ameelekeza kuanzishwa Chama cha maafisa usafirishaji Wilaya ya Songwe ambacho kitahusika na uratibu wa masuala yote yanayohusu madereva wanaotoa huduma za usafiri na usafirishaji huku akiwataka kuzingatia Sheria za Barabarani…
2 November 2023, 16:11
Hatimaye Moravian jimbo la Kusini Magharibi lapata askofu
Miongoni mwa matukio ambayo yalikuwa yakisubiriwa kwa waumini wa kanisa la Moravian ni hili la uchaguzi wa askofu ambaye alikuwa anasubiriwa kuchukua nafasi iliyoachwa baada ya askofu Alinikisa Cheyo kustaafu. Na Hobokela Lwinga Mkutano mkuu wa sinodi ya dharula ya…
31 October 2023, 15:37
Vyoo vyatajwa kuwa sababu ya chanzo cha polio
Mgonjwa mmoja wa polio kwa mjibu wa wataalumu wa afya anapobainika kupata maambukizi anatajwa kuweza kuambukiza watu Zaidi ya 200 kwa wakati mmoja. Na Hobokela Lwinga Serikali inatarajia kutoa chanjo ya awamu ya pili ya polio katika mikoa sita ya…
31 October 2023, 09:06
Askofu Mwakanani apata mchumba,kufunga ndoa mwakani 2024
Mungu aliona si vyema mwanaume akawa peke yake akamfanyia msaidizi,hivyo ndoa ni mpango wa Mungu na ndio maana Mithali 18:22 inasema Apataye mke apata kitu chema;Naye ajipatia kibali kwa BWANA. Na Kelvin Lameck Askofu wa makanisa ya Evangelical Brotherhood Tanzania…
30 October 2023, 17:35
Songwe madereva wapigwa stop ulevi
Miongoni mwa sababu kubwa ya ajali za barabarani ni kwa baadhi ya madereva kutumia vilevi kupindukia wanapokuwa barabarani wakiendesha vyombo vya vya moto,baada ya kuini hili kumekuwepo na ukaguzi uanao fanywa na jeshi la polisi kwenye vituo vya kuazia safari…
30 October 2023, 17:14
Mwl Luvanda: Utalii wa ndani unavutia wawekezaji na kukuza uchumi wa nchi
Tanzania ni nchi iliyobarikiwa kuwa na vivutio mbalimbali ikiwemo hifadhi za wanyama,fukwe za maziwa na bahari pamoja malikale. Na Josea Sinkala. Kampuni ya Mwalimu Edwin Luvanda ya jijini Mbeya (Mc Luvanda Branding and Entertainment Company Limited) imehamasisha jamii kufanya utalii…
30 October 2023, 16:01
Wachimbaji wadogo wa madini Chunya walia na mercury, wapata ulemavu
Teknolojia ni jambo zuri katika ulimwengu wa sasa lakini hali imekuwa tofauti kwa wachimbaji eneo la Chunya ambapo badala ya furaha imegeuka kilio. Na Hobokela Lwinga Wachimbaji wadogo wa madini katika eneo la Itumbi kata ya Matundasi wilaya ya Chunya…