Recent posts
10 November 2023, 16:17
Lulandala:Iweni walinzi na watetezi wa chama na serikali
katibu mkuu wa UVCCM Fakii Lulandala amewataka vijana wa UVCCM kuwa walinzi na watetezi wa chama na serikali katika utekelezaji wa maendelo kupitia ilani ya CCM. Wito huo ameeutoa katika ofisi za chama cha mapinduzi sokomatola jijini mbeya wakati akizungumza…
9 November 2023, 14:55
Serikali yaombwa kuharakisha ujenzi wa daraja Chunya
Na mwandishi wetu Wanachi wa vijiji Lualaje na Mwiji kata ya Lualaje halmashauri ya wilaya ya Chunya mkoani Mbeya wameiomba serikali kuharakisha ujenzi wa daraja la Lualaje linalounganisha kata hiyo na Mapogolo wilaya ya Chunya kabla ya msimu wa mvua…
8 November 2023, 16:06
RAS Seneda apongeza ujenzi miradi halmashauri ya wilaya Momba
Katibu tawala mkoa wa Songwe Bi. Happiness Seneda ameanza rasmi ziara yake ya siku tatu katika halmashauri ya wilaya ya Momba ikiwa ni ufuatiliaji wa miradi ya serikali ambapo pia ameongozana na wajumbe wa timu ya sekretarieti ya mkoa wa…
8 November 2023, 15:35
Momba kusimamiwa na serikali ujenzi wa vyoo kwa gharama zao
Serikali ya halmashauri ya wilaya ya Momba imewaagiza watendaji wa vijiji na kata kutumia sheria ndogo za maeneo yao kutoza faini kwa wananchi ambao hawana vyoo bora na kuzitumia katika ujenzi wa vyoo bora kwa kaya ambazo zimetozwa faini hiyo…
8 November 2023, 14:57
Mwl. Haule: Kila mtu ana wajibu wa kuwaombea viongozi wa serikali
Jamii nchini imetakiwa kuiombea serikali kuanzia ngazi ya chini hadi ya juu ili ili iendelee kuongoza nchi vizuri na amani iendelee kutawala. Na Deus Mellah Wito huo umetolewa na mwalimu wa neno la Mungu Baraka Haule wakati akizungumza na kituo…
8 November 2023, 14:31
Diwani Iyunga agawa jezi sekondari ya Lupeta Mbeya
Wananfunzi wa shule za sekondari mkoani mbeya wametakiwa kusoma kwa bidii na kushika yale yote yanayo fundishwa na walimu wao ili yaweze kuwasaidia. Na Iman Anyigulile Hayo yameelezwa na mh diwani wa kata ya Iyunga Mwajuma Tindwa wakati alipokuwa akikabidhi…
8 November 2023, 13:47
Kayange: Viongozi wa maji wanaozuia wananchi kutoa kero wachukuliwe hatua
Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira jijini Mbeya imewaomba watumiaji wa maji kulipa ankara zao kwa wakati ili mamlaka hiyo iweze kujiendesha na kutoa huduma kwa ufanisi. Na Sifael Kyonjola Akizungumza na kituo hiki mkurugenzi wa mamlaka hiyo…
7 November 2023, 12:55
Mwenyekiti UVCCM Mbeya awataka vijana kutumia fursa zinazotolewana serikali
Vijana mkoani Mbeya wametakiwa kuwa mstari wa mbele kuzitumia fursa mbalimbali ambazo zinatangazwa na serikali kwa lengo la kujiletea maendeleo yao na taifa kwa ujumla. Na Ezra Mwilwa Wito huo umetolewa na Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mbeya Yassin Ngonyani…
7 November 2023, 12:25
Wanavyuo washauriwa kujiajiri na kuondokana na makundi maovu
Vijana wa rika mbalimbali wanaomaliza masomo yao kwenye vyuo tofauti nchini wametakiwa kutojiingiza katika makundi yasiyofaa kwani yanaweza kukatisha ndoto zao za baadaye. Na Deus Mellah Wito huo umetolewa na msimamizi wa miradi kanisa la Moravian jimbo la Kusini Magharibi…
6 November 2023, 15:44
CP. Wakulyamba: Wapeni ushirikiano VGS
Wananchi wametakiwa kuwapa ushirikiano Askari wa Wanyamapori Vijijini (VGS) ili waweze kutekeleza Majukumu yao vizuri ya ulinzi wa Maliasili pamoja na kuwalinda wanavijiji dhidi ya Wanyamapori wakali na waharibifu. Na Mwandishi wetu, Dodoma Wito huo umetolewa na Naibu Katibu Mkuu…