Baraka FM

Recent posts

21 September 2023, 16:17

Walimu 20 Mbeya kunufaika na mafunzo, kupatiwa ajira

Kutokana na vijana wengi kuwa na taaluma za fani mbalimbali bado suala la ajira limekuwa changamoto kwa makundi mbalimbali ya vijana hivyo wadau wanapaswa kuangalia hilo hasa walio kwenye sekta binafsi kutoa fursa ya ya ajira kwa vijana hao Na…

20 September 2023, 18:11

Jimbo la Mbarali lapata mrithi wa aliyekuwa Mbunge Francis Mtega

Tume ya Taifa ya uchaguzi ilitangaza uchaguzi mdogo baada ya kifo cha aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo Francis Mtega kufariki kwa ajali akielekea shambani kwake. Na Daniel Simelta Msimamizi wa Uchaguzi katika jimbo la Mbarali mkoani Mbeya, Missana Kwangura amemtangaza…

20 September 2023, 16:40

Mafunzo ya TADIO baraka fm yawapa shangwe wafanyakazi

Kwenye maisha ya binadamu kujifunza ni jambo jema na ukipata nafasi inakupa fursa ya kufanikiwa kwenye maisha,TADIO ni moja ya mtandao unaotoa fursa ya kumjenga mtu ili kutumia fursa zilizopo hasa katika ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia. Na Hobokela…

19 September 2023, 12:46

Vikundi vya usafi vyaomba ushirikiano maeneo wanayofika kufanya usafi

Mazingira ni sehemu yoyote inayomzunguka binadamu na mazingira hayo ili kuepusha athari ikiwemo magojwa ya mlipuko ikiwemo kipindupindu hayana budii kuyalinda kwa kuhakikisha yanakuwa safi wakati wote. Na Sadoki Mwaigaga Wafanyabiashara wa soko la Sido jijini Mbeya wameshauriwa kutoa ushirikiano…

18 September 2023, 20:14

Toeni ushirikiano watoto wapate chanjo ya polio

Msingi wa binadamu ni afya na unapo kuwa na afya ni lazima uilinde,katika maisha ya binadamu yeyote wakati anazaliwa ni lazima apewe ulinzi wa afya yake kwa kupatiwa chanjo ya magonjwa mbalimbali,hivi karibuni serikali imekuwa na msisitizo wa kila mtanzania…

18 September 2023, 19:47

Homera: Epukeni matumizi ya simu wakati wa kutoa huduma kwa wagonjwa

Kufanya kazi kwa weledi ni sehemu ya binadamu anayejitambua na kutambua nafasi yake na ukitaka kupongezwa ni lazima uoneshe weledi wa kazi yako, ishi ukijua maisha yako yanategemea maisha ya mwingine. Na Mwandishi wetu Mkuu wa mkoa wa Mbeya Comrade…

18 September 2023, 19:14

TADIO yapongezwa, yaombwa kuongeza wigo zaidi elimu kwa wanahabari

Kila binadamu anapaswa kuwa na utu na binadamu asiyekuwa na utu hawezi kuona wema anaotendewa, unapofanyiwa jambo lenye utu unapaswa kuwa na shukrani na ndivyo ilivyo pia msisitizo katika vitabu vitakatifu vya dini. Na Hobokela Lwinga Wahariri na wakuu wa…

15 September 2023, 22:46

Mbeya kuanza kutoa chanjo ya polio kwa watoto chini ya umri wa miaka 8

Wanasema kinga ni bora kuliko tiba,ili uweze kuwa salama huna budii kukubaliana na ushauri wa wataalamu wa afya unaopatiwa juu ya afya yako.kila binadamu tangu kuzaliwa kwake lazima apewe chanjo ili kuweza kuimarisha afya yake, hali hiyo ukiwa kama mzazi…