Baraka FM

Recent posts

26 October 2023, 14:17

UVCCM Mbeya yaipongeza serikali ya Dkt Samia Suluhu Hassan

Unapofanya jambo zuri na lenye tija kwa jamii ni lazima upongezwe,hivyo ukiwa binadamu mwenye utu unapopewa nafasi ya kuongoza watu wa jamii yako huna budii kuacha alama nzuri ili kesho yako uweze kupongezwa. Na Ezra Mwilwa Umoja wa vijana wa…

24 October 2023, 16:47

Sekondari ya Shisyete yakabiliwa na uhaba wa walimu, vifaa

Wakati mapambano ya kuhakikisha wanafunzi wanakuwa na mazingira mazuri hali hiyo si nzuri  katika shule ya sekondari Shisyete iliyoko Mbeya Dc nakilio hicho kikitolewa na wanafunzi wa shule. Na josea sinkala Shule ya sekondari Shisyete kata ya Shizuvi wilayani Mbeya…

24 October 2023, 15:54

Kanisa la Moravian Tanzania kupata maaskofu wawili 2023

Kanisa la Moravian kupitia taratibu zake linatarajia kupata maaskofu wawili ili kuendeleza huduma za kiroho katika dhehebu hilo. Na Deus Mellah Wakristo wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi na jimbo la kaskazini wametakiwa kuendelea kumuomba Mungu ili…

23 October 2023, 13:25

Waumini watakiwa kuachana na tabia za unafiki ndani ya dini zao

Mtu anapoamini ni ishara ya kufanya vitu vingi kwenye maisha ndivyo ilivyo pia mtu akiamini katika imani ya dini anapaswa kuishi maisha kulingana na imani ya dini yake, kwa wakristo wanaaswa kuishi maisha kama aliyoishi Yesu akiwa duniani. Na Hobokela…

19 October 2023, 19:45

Gari la kanisa laua wawili mchungaji akihamishwa Songwe

Kifo hakipigi hodi na hakuna anayeweza kuzui kifo ndio maana vitabu vya dini vina tusisitiza kujianda wakati kwa maana ya kutenda Mambo mema. Na Ezekiel Kamanga Watu wawili wamefariki kwa ajali ya lori namba T 644 AJC Mercedes Benz mali…

19 October 2023, 19:15

Mbeya kupunguza maambukizi ya malaria ifikapo 2025

Dunia imeendelea kupambana na ugonjwa wa maralia hivyo Tanzania kama nchi haina budii kuuangana na dunia katika kutimiza hilo,hali hiyo imefika mpaka ngazi za chini katika kuendeleza jitihada za kutokomeza maralia katika ngazi ya familia. Na mwandishi wetu Mbeya Mkuu…

19 October 2023, 18:39

Wazazi na walezi msiwaachie walimu watoto wenu

Hivi karibu kumekuwa masuala ya kikatili ambayo yamekuwa Yakifanywa kwa wanafunzi na walimu wao,kitendo hicho kimekuwa kikwazo na kuondoa iman ya kuwaamini baadhi ya walimu. Na Daniel Simelta Wazazi na Walezi mkoani Songwe, wametakiwa kuimarisha malezi kwa watoto wao na…

17 October 2023, 18:09

Kisa simu mwanaume ampiga mke wake mpaka kufa Mbeya

Wakati Mungu anamuumba mwanadamu yaani adamu aliona si vema akishi pekee yake akampatia msaidizi wake ambaye ni eva ili waishi pamoja tena kwa furaha,hali hiyo imegeuka karaha kwa wanandoa hawa kujikuta wakiingia kwenye mgogoro kisa simu na kusababisha kifo kwa…

17 October 2023, 17:30

Wavenza: Saidieni watoto yatima waishi kama watoto wengine

Kwenye jamii kuna msemo unasema motto wa mwenzako ni wako ,hii inamaana kuwa kila mtoto anapaswa kupata mahitaji  yote kama watoto wengine unapopata nafasi ikiwa ni pamoja na chakula,elimu na malazi. Na Deus Mellah Jamii nchini imetakiwa kuwa mstari wa…