Baraka FM

Recent posts

4 November 2023, 00:14

Polisi Mbeya yakanusha kukamatwa kwa wakili Mwabukusi na Mdude Nyagali

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa zisizo rasmi kuwa Wakili Boniface Mwabukusi na Mdude Nyagali wamekamatwa na Polisi wakiwa na baadhi ya waandishi wa habari. Na Hobokela Lwinga Taarifa hizo ni za upotoshaji, hazina ukweli…

3 November 2023, 22:21

Bodaboda wengi siku hizi wanapenda mizigo,halafu hamuwi na mzigo mmoja

Mkuu wa Wilaya ya Songwe Mkoani Songwe Mhe. Solomon Itunda, ameelekeza kuanzishwa Chama cha maafisa usafirishaji Wilaya ya Songwe ambacho kitahusika na uratibu wa masuala yote yanayohusu madereva wanaotoa huduma za usafiri na usafirishaji huku akiwataka kuzingatia Sheria za Barabarani…

2 November 2023, 16:11

Hatimaye Moravian jimbo la Kusini Magharibi lapata askofu

Miongoni mwa matukio ambayo yalikuwa yakisubiriwa kwa waumini wa kanisa la Moravian  ni hili la uchaguzi wa askofu ambaye alikuwa anasubiriwa kuchukua nafasi iliyoachwa baada ya askofu Alinikisa Cheyo kustaafu. Na Hobokela Lwinga Mkutano mkuu wa sinodi ya dharula ya…

31 October 2023, 15:37

Vyoo vyatajwa kuwa sababu ya chanzo cha polio

Mgonjwa mmoja wa polio kwa mjibu wa wataalumu wa afya anapobainika kupata maambukizi anatajwa kuweza kuambukiza watu Zaidi ya 200 kwa wakati mmoja. Na Hobokela Lwinga Serikali inatarajia kutoa chanjo ya awamu ya pili ya polio katika mikoa sita ya…

31 October 2023, 09:06

Askofu Mwakanani apata mchumba,kufunga ndoa mwakani 2024

Mungu aliona si vyema mwanaume akawa peke yake akamfanyia msaidizi,hivyo ndoa ni mpango wa Mungu na ndio maana Mithali 18:22 inasema Apataye mke apata kitu chema;Naye ajipatia kibali kwa BWANA. Na Kelvin Lameck Askofu wa makanisa ya Evangelical Brotherhood Tanzania…

30 October 2023, 17:35

Songwe madereva wapigwa stop ulevi

Miongoni mwa sababu kubwa ya ajali za barabarani ni kwa baadhi ya madereva kutumia vilevi kupindukia wanapokuwa barabarani wakiendesha vyombo vya vya moto,baada ya kuini hili kumekuwepo na ukaguzi uanao fanywa na jeshi la polisi kwenye vituo vya kuazia safari…