Baraka FM

Recent posts

8 November 2023, 14:57

Mwl. Haule: Kila mtu ana wajibu wa kuwaombea viongozi wa serikali

Jamii nchini imetakiwa  kuiombea serikali kuanzia ngazi ya chini hadi ya juu ili  ili iendelee kuongoza nchi vizuri na amani iendelee kutawala. Na Deus Mellah Wito huo umetolewa na mwalimu wa neno  la Mungu Baraka Haule wakati akizungumza na kituo…

8 November 2023, 14:31

Diwani Iyunga agawa jezi sekondari ya Lupeta Mbeya

Wananfunzi wa shule za  sekondari mkoani  mbeya wametakiwa  kusoma kwa bidii na kushika yale yote yanayo fundishwa  na walimu wao ili yaweze  kuwasaidia. Na Iman Anyigulile Hayo yameelezwa na mh diwani wa kata ya Iyunga Mwajuma Tindwa wakati alipokuwa akikabidhi…

7 November 2023, 12:25

Wanavyuo washauriwa kujiajiri na kuondokana na makundi maovu

Vijana wa rika mbalimbali  wanaomaliza masomo yao kwenye vyuo tofauti nchini wametakiwa kutojiingiza katika makundi yasiyofaa kwani yanaweza kukatisha ndoto zao za baadaye. Na Deus Mellah Wito huo  umetolewa na msimamizi wa miradi kanisa la Moravian jimbo la Kusini Magharibi…

6 November 2023, 15:44

CP. Wakulyamba: Wapeni ushirikiano VGS

Wananchi wametakiwa kuwapa ushirikiano Askari wa Wanyamapori Vijijini (VGS) ili waweze kutekeleza Majukumu yao vizuri ya ulinzi wa Maliasili pamoja na kuwalinda wanavijiji dhidi ya Wanyamapori wakali na waharibifu.  Na Mwandishi wetu, Dodoma Wito huo umetolewa na Naibu Katibu Mkuu…

6 November 2023, 15:09

Askofu Mteule Moravian KMT-JKM awataka waumini kuacha makundi

Ni siku tano tu zimepita kanisa la Moravian Tanzania jimbo la kusini magharibi limefanya uchaguzi wa kumpata askofu,na katika uchaguzi huo mchungaji robart pangani ndiye ambaye alichaguliwa katika nafasi hiyo. Na Hobokela Lwinga Askofu mteule na mwenyekiti wa kanisa la…

5 November 2023, 13:44

Wanafunzi shule za msingi wilaya ya Songwe kunufaika na vyandarua 32,670

Wilaya ya Songwe imezindua kampeni ya usambazaji na ugawaji wa vyandarua kwa wanafunzi wa shule zote za msingi za Serikali na binafsi lengo likiwa ni kutokomeza maambukizi ya malaria katika wilaya hiyo. Na Mwandishi wetu,Songwe Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya…

5 November 2023, 13:31

Baada ya ushindi wa urais wa IPU Dkt. Tulia aandaliwa mapokezi maalum Mbeya

Baada ya kushinda urais wa IPU Dkt Tulia Akson Mwansasu alifanyiwa mapokezi maalum jijini Dodoma kabla ya kuanza kwa shughuli za bunge ambapo viongozi mbalimbali walijitokeza kumpokea,wakati vikao vya bunge vikiwa vinaendelea jijini dodoma tayari jimboni kwakwe maandalizi ya kumpokea…