Recent posts
11 January 2024, 17:46
RC Dendego aingia kazini kusaka mamba Mtera
Na Moses Mbwambo,Iringa Ikiwa ni siku chache vyombo vya habari kuripoti tukio la mwananchi aliyeliwa na mamba katika bwawa la mtera lililopo kata ya migori, Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, Mkuu wa mkoa wa Iringa Mhe. Halima Dendego leo amefanya…
11 January 2024, 12:38
Milioni 207 yajenga kivuko kuunganisha Ivuna,Mjomba na Songwe DC mkoani Songwe
Na mwandishi wetu, Songwe Mbunge wa Jimbo la Momba Mhe. Condester Sichalwe amesema kuwa kivuko cha waenda kwa miguu kinachounganisha kata ya Ivuna na Mkomba pamoja na Wilaya ya Songwe kimegharimu kiasi cha Shilingi milioni 207 kimeweza kurahisisha shughuli za…
11 January 2024, 12:22
Mapato ya ndani yanavyowapa tabasamu wananchi Rungwe
Na mwandishi wetu, Songwe Furaha ya wakazi wa kata ya Kinyala ipo Mbioni kukamilika baada ya Halmashauri kukamilisha ujenzi wa kituo cha afya kwa kutumia mapato yake ya ndani kwa gharama ya zaidi ya shilingi million 201. Jumla ya majengo…
11 January 2024, 12:11
Songwe Dc yafanya ziara ya uripoti wa Wanafunzi shuleni
Na mwandishi wetu, Songwe Wakuu wa Divisheni ya Elimu Awali, Msingi na Sekondari wamefanya ziara ya kufuatilia hali ya uripoti wa wanafunzi wanaoanza elimu ya awali, darasa la kwanza na wanaojiunga na kidato cha kwanza katika baadhi ya shule zilizopo…
11 January 2024, 11:50
Walimu Songwe DC wapewa mafunzo mtaala ulioboreshwa
Na mwandishi wetu, Songwe Walimu kutoka Kata za Saza, Mkwajuni na Mwambani Wilayani Songwe wamepewa mafunzo ya mtaala ulioboreshwa yaliyofanyika katika Shule ya Msingi Mkwajuni. Akizungumza wakati wa mafunzo hayo, Mkuu wa Divisheni ya Elimu Awali na Msingi Wilaya ya…
9 January 2024, 19:03
Mkuu wa mkoa wa Songwe agawa chakula na kula pamoja na wanafunzi
Na mwandishi wetu, Songwe Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Dkt. Francis K. Michael Ameshiriki kugawa chakula na kula pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Uwanjani iliyopo Halmashauri ya Mji Tunduma Mhe.Dkt. Michael, amefanya ziara hiyo ikiwa ni…
9 January 2024, 18:49
Mkuu wa mkoa wa Songwe aridhishwa na hatua za ujenzi wa wa shule mpya ya Izuba
Na Mwandishi wetu,Songwe Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mhe. Dkt. Francis K. Michael, amekagua ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari Izuba Kata ya Isongole Wilayani Ileje na kueleza kuridhishwa na mwenendo wa ujenzi shule hiyo. Mkoa wa Songwe amefanya ukaguzi…
9 January 2024, 18:38
Bodaboda zingatie Sheria za usalama barabarani
Na mwandishi wetu,Songwe Madereva wa Pikipiki maarufu kama Bodaboda wa Wilaya ya Momba Mkoa wa Songwe wametakiwa kufuata sheria za usalama barabarani na kuzingatia matumizi sahihi ya barabarani ikiwa ni pamoja na kuacha kujihusisha na usafirishaji wa bidhaa za magendo…
9 January 2024, 18:30
Zahanati ya Rufumbi wilayani Rungwe mbioni kukamilika
Na mwandishi wetu Hatua ya ukamilishaji katika zahanati ya Lufumbi kata ya Masoko inatoa fursa kwa wakazi wa kijiji hiki kupata huduma ya matibabu karibu na makazi yao. Zahanati hii imejengwa kwa nguvu za wananchi huku Halmashauri ikitoa kiasi cha…
9 January 2024, 18:19
Serikali yawapa tabasamu wakazi wa kata ya Lupepo wilayani Rungwe
Na mwandishi wetu Adha ya kutembea umbali mrefu kwa wanafunzi wa sekondari sasa imemalizika kwa wakazi wa kata ya Lupepo kufuatia kukamilika kwa ujenzi wa vyumba vya madarasa , Maabara, Maktaba, vyoo na jengo la Utawala katika shule Mpya ya…