Baraka FM

Recent posts

23 November 2023, 15:59

Ugomvi wa wazazi mbele ya watoto chanzo mmomonyoko wa maadili

Na Hobokela Lwinga Inaelezwa kuwa wazazi na walezi wamekuwa kichocheo kikubwa cha mmonyoko wa maadili hali inayosababisha uwepo wa matendo ya kikatili kwenye jamii. Hayo yameelezwa na mkuu wa dawati la jinsia jeshi la polisi mkoa wa Mbeya Inspekta Loveness…

21 November 2023, 19:34

Askofu Panja: Tendeni mema ili mkumbukwe

Na Hobokela Lwinga Askofu mteule wa kanisa la Moravian Tanzania jimbo la kusini magharibi mch.Robart Pangani amewataka wananchi nchini kutunza amani iliyopo kuanzia kwenye maeneo yao wanayoishi  badala ya kuwa wavunjifu wa amani. Hayo ameyasema katika ibada ya msiba wa…

17 November 2023, 21:48

Mchungaji kanisa la Moravian afariki Dunia

Na Hobokela Lwinga Mchungaji wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini Magharibi ushirika wa Meta Mbeya Sifael Mwashibanda amefariki Dunia jijini Dar es salaam alikokuwa anapatiwa matibabu. Akitoa taarifa ya kifo cha mch.Sifael Mwashibanda, Katibu mkuu wa Kanisa la…

17 November 2023, 21:30

Askofu ashindwa kuchaguliwa kisa theluthi

Na Hobokela Lwinga Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kaskazini (Arusha)limefanikiwa kufanya mkutano mkuu wa kanisa “Sinodi”iliyokuwa na jukumu la kupata viongozi wapya ikiwemo nafasi ya askofu katika Jimbo hilo. Katika uchaguzi huo nafasi ya askofu imeshindikana kumpata askofu kutokana…

17 November 2023, 21:21

Coplo Kinyaga:Mnaweza kuisaidia jamii kuwa salama na majanga

Na Sifael kyonjola Jeshi la zimamoto na uokoaji mkoa wa Mbeya limetoa mafunzo kwa waandishi wa habari jinsi ya kukabiliana na majanga ya moto yanapotokea katika jamii inayowazunguka. Mafunzo hayo yametolewa na afisa habari   zimamoto na uokoaji mkoa wa Mbeya…

15 November 2023, 17:29

Mashamba ya shule yatumike kuimarisha lishe kwa wanafunzi

Na mwandishi wetu Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Momba, Bi. Regina Bieda amewaagiza wakuu wa shule na waalimu wakuu kuhakikisha wanatumia vizuri ardhi ya shule kwa kulima mazao mbalimbali ya kuimarisha lishe bora kwa wanafunzi. Bi. Regina Bieda…

14 November 2023, 20:35

Dkt.Tulia azindua ofisi na kugawa bodaboda Kawetele jijini Mbeya

Na Hobokela Lwinga Spika wa Mabunge Duniani ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mbunge wa Mbeya Mjini Dkt Tulia Ackson amezindua tawi la Bodaboda Kawetele Jijini Mbeya pia kukabidhi mkopo wa pikipiki wenye thamani…

14 November 2023, 20:04

Radi yaua mtu mmoja na Ng`ombe 27 Sumbawanga Rukwa

na Mwandishi wetu Kufuatia Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha na kusababisha Maafa Wananchi wilayani sumbawanga Mkoani Rukwa wametakiwa kuchukua tahadhari za kiusalama ikiwa ni pamoja na kusimamisha Shughuli za Kilimo Pindi Mvua zinaponyesha. Hayo yamejiri Mara baada ya Mvua kubwa iliyoambatana…