Recent posts
18 January 2024, 20:45
Wizara ya afya yapongezwa kwa kupunguza vifo vinavyotokana na uzazi
Na mwandishi wetu Serikali kupitia Wizara ya Afya imepongezwa kwa juhudi kubwa inayoendelea kufanya za kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi, mama na mtoto ikiwa ni kipaumbele cha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Pongezi hizo zimetolewa leo Januari 18, 2024 na…
18 January 2024, 20:36
Ziara ya RC Homera yawa lulu kwa wawekezaji, aahidi ushirikiano na serikali
Na Hobokela Lwinga Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Cde Juma Zuberi Homera amewahakikishia Usalama wa Kutosha Wafanyabiashara na wawekezaji wa Mkoa wa huo ili kuendelea kufanya Shughuli zao za Uzalishaji Mali wenye tija kwa Serikali na Wakazi wa Mbeya kwa…
18 January 2024, 20:27
DC Malisa: Wahujumu uchumi mbolea ya ruzuku kukiona Mbeya
Na Hobokela Lwinga Mkuu wa wilaya ya Mbeya Mkoani Mbeya Mh.Beno Malisa ametoa onyo kali kwa wakulima,mawakala wa mbolea na wanaoshiriki kuhujumu mpango wa mbolea ya ruzuku iliyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan…
18 January 2024, 20:21
Polisi Songwe kuendeleza ushirikiano kwa wananchi
Na Mwandishi wetu Songwe. Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali wakiwemo waandishi wa habari ili kuendelea kujiwekea mikakati ya kuifikia jamii kwa kuipatia elimu na kuijengea uelewa kuhusu madhara ya uhalifu. Hayo yalibainishwa wakati wa…
18 January 2024, 15:33
Wakulima wa chai Rungwe wavikataa vyama vya ushirika
Na Ezra Mwilwa Wakulima wa zao la chai wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya wameviomba vyama vya ushirika kuwalipa mapema malipo yao ili waweze kuendeleza kilimo hicho kwa ufanisi. Mwenyekiti wa wakulima hao Ndg. Asajile Mwasampeta amesema wamekua wakipata changamoto ya…
18 January 2024, 12:10
Acheni usanii,fanyeni kazi ya Mungu
Na Hobokela Lwinga Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde, Geofrey Mwakihaba amewataka wachungaji kuacha usanii na kurejea kwenye misingi ambayo Mungu amewatuma. Amesema hayo katika ibada ya kuwabariki wachungaji 17 wa Kanisa hilo na…
18 January 2024, 11:36
Rungwe kuanza kutoa elimu ya msingi kwa michepuo ya kiingereza
Na Hobokela Lwinga Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe baada ya kukamilisha ujenzi kwa kutumia Mapato yake ya ndani ipo mbioni kuanza kutoa huduma ya elimu katika shule mpya ya Msingi Umoja kwa Mchepuo wa Kingereza (Umoja English Medium). Shule hii…
18 January 2024, 11:23
Matukio 53 ya ajali yaripotiwa kutokea mwaka 2023 Mbeya
Na Ezekiel Kamanga Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Mbeya SF Malumbo Ngata ametoa taarifa ya miezi sita ya matukio mbalimbali hamsini na tatu yalliyoripotiwa Mkoani Mbeya likiwemo la vifo vya watoto wawili waliofariki baada kutumbukia kisima…
16 January 2024, 21:22
Serikali imetenga bilioni 48 mikopo ya Wanafunzi ngazi ya stashahada kwa mwaka w…
Na Hobokela Lwinga Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema katika mwaka wa masomo wa 2023/2024, Serikali imetenga shilingi bilioni 48 kwa ajili ya kutoa mikopo kwa wanafunzi wa ngazi ya stashahada. Amesema hayo leo wakati wa ufunguzi wa Chuo Kikuu Katoliki…
16 January 2024, 19:45
PM Majaliwa ahitimisha ziara Mbeya, afungua CUoM
Na Hobokela Lwinga Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kasim Majaliwa ameondoka Mkoani Mbeya baada ya Kushiriki Hafla ya Ufunguzi wa Chuo Kikuu Cha Kikatoloki Mbeya (CUoM) Leo January 16 2024.