Recent posts
12 February 2024, 11:22
Mradi wa LTIP watatua mgogoro wa mpaka wa Songwe na Mbeya
Na Ezekiel Kamanga Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Songwe CPA Cecilia Kavishe amesema Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi (LTIP) umetatua migogoro ya kimipaka katika halmashauri hiyo hatua inayowasidia wananchi kuendelea na shughuli za uzalishaji mali kwa…
12 February 2024, 11:08
Mradi wa LTIP kuinua uchumi wa Makete
Na Ezekiel Kamanga, Makete, Njombe Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi (LTIP) ni tumaini jipya la kuwainua kiuchumi wananchi wa wilaya ya Makete kwa ardhi yao kupangwa, kupimwa na kupata hati miliki ya ardhi ili kuendesha maisha yao…
10 February 2024, 16:53
Yanga yaadhimisha miaka 89, yatoa msaada hospitali ya kanda Mbeya
Na Hobokela Lwinga Kuelekea maadhimisho ya miaka 89 tangu kuanzishwa kwa klabu ya mpira wa miguu ya Yanga, leo 10 Februari, 2024 wanachama pamoja na viongozi wa kitaifa wa klabu hiyo wametembelea Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya Kitengo cha…
8 February 2024, 15:49
Makonda aweka jiwe la msingi madarasa shule ya sekondari Ivumwe
Na Hobokela Lwinga Mapema asubuhi ya leo, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda ameweka jiwe la msingi katika muendelezo wa ujenzi wa Madarasa katika shule ya Sekondari ya Ivumwe. Shule…
6 February 2024, 18:11
Wazazi washauriwa kuwapatia watoto lishe bora kupunguza udumavu nchini
Diwani wa kata ya Nanyala George Msyani wakati akiongea na wananchi wa kata hiyo(picha na Rukia Chasanika) udumavu kwa watoto unasababishwa na baadhi ya wazazi na walezi kutowapatia lishe bora watoto wao pamoja na kutozingatia makundi ya vyakula. Na Rukia…
6 February 2024, 11:17
Akutwa na nyaraka za serikali na meno ya trmbo Songwe
Na mwandishi wetu, Songwe Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linaendelea kuimalisha ulinzi na usalama kwa kuishirikisha jamii katika kubaini, kuzuia na kutanzua uhalifu kwa kufanya doria, misako na operesheni ambapo limefanikiwa kumkamata mtuhumiwa 01 kwa tuhuma za kupatikana na…
6 February 2024, 10:54
Rungwe yafanya tathmini ya matokeo ya mitihani ya taifa 2023
Na mwandishi wetu Tathmini ya matokeo ya Mtihani wa taifa kidato cha pili na nne kwa mwaka 2023 imefanyika leo tarehe 2.2.2024 uliwakutanisha Viongozi kutoka idara ya elimu, wakuu wa shule za sekondari 45 Maafisa elimu kata kutoka katika kata…
6 February 2024, 10:47
Kamati zapongezwa utekelezaji wa miradi Rungwe
Na mwandishi wetu Kamati ya fedha (FUM) imefanya ukaguzi wa ujenzi wa shule mpya ya Msingi Umoja yenye Mchepuo wa Kingereza iliyopo Ilenge kata ya KyimoMwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Rungwe Mheshimiwa Mpokigwa Mwankuga ndiye aliyeongoza kamati hii ambapo…
6 February 2024, 10:38
Waharibifu wa vyanzo vya maji, misitu Mbeya kuchukuliwa hatua
Na mwandishi wetu Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mh. Beno Malisa Akimuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kwenye siku ya upandaji miti Mkoani Mbeya ametoa mamlaka husika kuwachukulia hatua viongozi na wote watakaojihusisha na uharibifu wa Misitu na vyanzo vya…
1 February 2024, 22:39
RC Dendego amwagiza DED manispaa ya Iringa kutenga eneo ujenzi wa mahakama
Na Moses Mbwambo, Iringa Mkuu wa mkoa wa Iringa Mhe. Halima Dendego ameuagiza Uongozi wa Manispaa ya Iringa kutenga eneo jipya kwa ajili ya ujenzi wa Mahakama baada ya majengo ya mahakama yaliyopo kuonekana eneo lake limebanana. Mhe. Dendego ameyasema…