Recent posts
12 March 2024, 20:55
Aliyeua watoto wake wawili kwa sumu mkoani Mbeya naye afariki
Siku zote wanasema uchungu wa mwana aujuaye mzazi ,hii imekuwa tofauti kwa mwanamke mmoja mkoani Mbeya kuchukua maamzi ya kuwanywesha watoto wake sumu na kusababisha kifo. Na Hobokela Lwinga Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limetoa taarifa kuwa mtuhumiwa Dainess…
8 March 2024, 08:31
Hospitali ya rufaa kanda ya Mbeya kusaidia vijana wabunifu wenye ulemavu
Na Ezekiel Kamanga Mkurugenzi mtendaji wa hospitali ya rufaa ya kanda Mbeya Dkt. Godlove Mbwanji amesema hospitali iko tayari kusaidia kijana yeyote mwenye ubunifu kwa mambo yanayogusa sekta ya afya kwa ustawi wa jamii bila kujali ni mfanyakazi wa hospitali,…
7 March 2024, 15:57
Diwani Mariam:Wawepo wataalamu wa saikolojia kwenye kata
Mamilioni ya watanzania wanajihususha na ujasiriamali mdogo hali inayo wafanya wajiingizie kipato kutokana na hilo hawana budii kupata elimu inayowawezesha kufanya shughuli zao kwa weledi. Na Hobokela Lwinga Kuelekea kilele cha siku ya mwanamke duniani,diwani wa viti maalum jiji la…
7 March 2024, 13:15
Vyombo vya habari mbalimbali Nchini vyapatiwa mafunzo namna ya kutumia mtandao y…
Mtandao wa rediotadio umekuwa na utaratibu wa kutoa mafunzo miongoni mwa radio ambazo wamekuwa wakifanya nao kazi. Na Hobokela Lwinga Radio tadio imeendesha mafunzo mafunzo kwa wataalamu wa It kutoka vyombo mbalimbali vya habari Nchini lengo likiwa ni kuongeza ufanisi…
29 February 2024, 18:51
Zaidi ya miche 100 yapandwa shule ya Mpakani Kyela
Na Ezekiel Kamanga Taasisi ya Living Together Youth Foundation(LTYF) yenye makao makuu wilaya ya Kyela inayojihusisha na utunzaji wa mazingira ikiongozwa na mkurugenzi wake Leonatha Likalango imeendelea na kampeni ya kufungua klabu za mazingira shuleni sanjari na upandaji miti ya…
29 February 2024, 17:06
Rungwe yazindua chanjo ya minyoo, kichocho
Na mwandishi wetu Mkuu wa wilaya ya Rungwe Mhe. Jaffar Haniu tarehe 28.2.2024 amezindua zoezi la chanjo ya minyoo na kichocho ikiwa ni sehemu ya kutokomeza magonjwa yote yasiyopewa kipaumbele katika jamii. Zoezi hili limefanyika katika shule ya msingi Katumba…
29 February 2024, 16:58
Waandishi wa habari watakiwa kuelimisha jamii
Na Mwandishi wetu Songwe Kamanda wa Polisi mkoani Songwe SACP Theopista Mallya amewataka waandishi wa habari mkoani hapa kuendelea kuielimisha jamii dhidi ya vitendo vya ukatili. Kamanda Mallya ameyasema hayo February 28, mwaka huu, mbele ya viongozi wa Klabu ya…
29 February 2024, 16:52
Wananchi Makongolosi waishukru serikali kwa kupeleka huduma za upasuaji
Na mwandishi wetu Wananchi wa Mamlaka ya mji mdogo Makongolosi wameushukuru serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwapelekea vifaa tiba katika kituo cha afya cha Makongolosi kwani…
29 February 2024, 16:43
Chunya yaongoza ukusanyaji mapato mkoa wa Mbeya
Na Mwandishi wetu Halmashauri ya wilaya ya Chunya imeendelea kuziongoza halmashauri za mkoa wa Mbeya katika ukusanyaji wa mapato kwa tofauti ya zaidi ya asilimia arobaini (40%) baada ya kukusanya shilingi bilioni 7.3 sawa na asilimia 133 kwa kipindi cha…
27 February 2024, 19:56
Rc Songwe awapongeza walimu
Na mwandishi wetu, Songwe Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Dkt. Francis K. Michael, ametembelea na kukagua hali ya ufundishaji na ujifunzaji katika Shule ya Msingi Katete iliyopo Kata ya Mpemba na Shule ya Msingi Mpemba iliyopo Kata ya Katete…