Recent posts
20 March 2024, 16:47
Afisa tarafa akerwa na watendaji wazembe
Unapoaminiwa na kupewa kufanya kazi fulani huna budi kuonyesha jitihada zako za utendaji kazi kwa weledi. Na mwandishi wetu Afisa Tarafa ya Ilongo Magdalena Sikwese ameagiza Maafisa Watendaji wa Kata na Vijiji kuhakikisha wanatumia nafasi zao kwa kuwatumikia Wananchi vizuri…
19 March 2024, 18:42
10 wakamatwa wakitorosha kilo 9.8 za dhahabu mkoani Mbeya
Shughuli za kila mwanadamu zinatengemea kufanywa kupitia taratibu na sheria za nchi,na endapo mtu akikiuka hayo ni lazima achukuliwe hatua kwa mujibu wa taratibu na sheria za nchi. Na Hobokela Lwinga Watu 10 wanashikiliwa na jeshi la polisi Mkoani Mbeya…
18 March 2024, 19:51
Waziri mkuu,tumieni kiswahili kwenye shughuli zenu
Waziri Mkuu kassim Majaliwa amewataka watanzania kutumia fursa ya matumizi sahihi ya lugha ya kiswahili ili kujipatia ajira kutokana na mataifa mengine kuipokea lugha hiyo kwa kasi kubwa. Na Hobokela Lwinga Waziri mkuu ameagiza watanzania na ofisi za Serikali kuhakikisha…
18 March 2024, 12:24
Mradi wa Dream kuwanufaisha wasichana Mbeya, Songwe
Katika dunia ya sasa kundi la wasichana wanapaswa kulindwa na kupewa mazingira mazuri ambayo yatawafanya kuondokana na changamoto zinazowakabili. Na mwandishi wetu Shirika la kimataifa la HJFMRI limesema linatarajia kutoa Sh 500 milioni kuwezesha mabinti balehe na wasichana vijana kupitia…
18 March 2024, 12:08
PM Majaliwa kufungua kongamano la idhaa ya kiswahili jijini Mbeya
Kiswahili ni moja ya lugha ya mawasiliano ambayo inaendelea kukua kwa kasi ambapo kwa sasa mataifa mbalimbali duniani yamekuwa yakiitumia kuwasiliana. Na Hobokela Lwinga Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kasim Majaliwa Majaliwa amewasili katika uwanja wa…
14 March 2024, 14:24
Polisi Mbeya wapokea vitendea kazi kutoka Lulu saccos
Kila mwananchi anapaswa kushiriki shughuli za ulinzi kwa namna yoyote ile,ikiwa huwezi kushiriki kwa nguvu basi unapaswa kujitoa kwa mali hivi ndivyo taasisi ya fedha ya lulu saccos imeamua kushiriki kuimarisha ulinzi kwa kulipatia jeshi la polisi vitendea kazi. Na…
14 March 2024, 14:13
Mume aua mke kwa kutenganisha kichwa na kiwiliwili Igurusi Mbeya
Mwanaume mmoja katika eneo la Igurusi wilayani Mbarali mkoani Mbeya amejichukulia hatua mkononi kwa kumchinja mke wake mithiri ya kuku na kumtenganisha kichwa na kiwiliwili. Na Ezekiel Kamanga Simanzi na vilio vimetawala kwa wakazi wa kitongoji cha Masista kijiji cha…
13 March 2024, 09:31
Familia yavamiwa Songwe, mke abakwa
Katika hali isiyo ya kawaida, familia moja mkoani Songwe imejikuta ikiingia kwenye hofu kubwa baada ya kuvamiwa usiku wa manane na kisha mama wa familia kubakwa na watu wasiofahamika. Na Ezra Mwilwa Mwanaume mmoja (Jina limehifadhiwa) mkazi wa wilaya Songwe…
12 March 2024, 22:24
Paradise Mission kuadhimisha miaka mitatu na Rais Samia
Kila binadamu anayefanikiwa nyuma ya mafanikio yake lazima awepo mtu anayesukuma mafanikio hayo. Kutokana na hilo taasisi ya shule yenye mchepuo wa lugha ya kiingereza ya Paradise Mission imeona kwa miaka mitatu imefanikiwa kutoa elimu hasa kwa wakazi wa mkoa…
12 March 2024, 21:35
Kyandomo ahimiza wanawake kugombea nafasi za uongozi
Suala la uchaguzi limekuwa ni suala la kila mwananchi kushiriki ingawa katika kugombea nafasi mbalimbali za uongozi baadhi ya makundi yamekuwa na idadi ndogo ya wagombea ikiwemo kundi la wanawake. Na mwandishi wetu Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya…