Recent posts
23 March 2024, 07:37
Baraka fm redio yapewa cheti ushiriki kongamono idhaa za kiswahili duniani
Meneja wa kituo cha redio Baraka cha jijini Mbeya Charles Amlike akiwa ameshika chetu cha pongezi na kutambua ushiriki wa kituo hiki cha matangazo katika kongamano la idhaa za kiswahili dunia lililofanyika Mbeya. kongamano hilo limeandaliwa Baraza la Kiswahili kwa…
23 March 2024, 07:20
Mbeya UWSA yakabidhi bando 8 za mabati kwa shule na ofisi ya mtaa
Nyuma ya mafanikio yako wapo watu wanaokuwezesha hivyo tunapaswa kujifunza kuwa na shukrani,haya tunafundishwa na mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira Mbeya ambao wameona umuhimu wa kurudi kwa jamii kwa kurudisha kwa jamii baadhi ya mafanikio yake. Na…
22 March 2024, 19:39
Mwenyekiti CCM Mbeya atoa maagizo waliovamia ardhi ya chama kukiona
Chama cha mapinduzi mkoa wa Mbeya kimeanza kurudisha mali zote zilizochukuliwa kinyume na utaratibu wa sheria. Na Ezra Mwilwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), mkoa wa Mbeya Patrick Mwalunenge amewapa siku Saba wale wote waliovamia eneo la shamba la…
22 March 2024, 17:49
Naibu waziri Mwinjuma afunga kongamano la idhaa za kiswahili duniani Mbeya
Wahenga wanasema elimu haina mwisho,inapotokea fursa hupaswi kuiacha kwani hiyo inakuwa na moja ya kujiongezea maarifa. Na Hobokela Lwinga Naibu waziri wa utamaduni Sanaa na michezo Mhe. HAMIS MWINJUMA amesema lugha ya Kiswahili ni kiungo muhimu cha mawasiliano miongoni mwa…
21 March 2024, 19:16
Aliyekuwa kamanda wa polisi Songwe awaaga waandishi wa habari
Unapofanya kazi mahali wapo watu unawakuta na unapokelewa na kupewa ushrikiano,basi iko hivyo unapoondoka pia ni vyema kuaga .Hii inatufundisha kutoka kwa SAPC. Theopista Mallya ambaye ameona umhimu wa kuwaaga baadhi ya watu ambao amefanya kazi nao katika mkoa wa…
21 March 2024, 18:41
Aliyebaka, kumlaghai mwanafunzi atamuoa ahukumiwa miaka 30 jela
Hakuna mtu aliyejuu ya sharia hivyo kila mtu anapaswa kuheshimu sharia kwa mjibu wa sharia za nchi. Na mwandishi wetu Mahakama ya Wilaya ya Momba mkoani Songwe tarehe 15 Machi 2024 imemhukumu mshtakiwa Stanford Theobert (19) mkulima, mkazi wa Maporomoko,…
21 March 2024, 18:00
Mwizi wa simu ahukumiwa miaka 30 jela
Sheria ni msumeno unaokatakata kuwili na sheria ni mwongozo unaotumika kuongoza mambo fulani iwe kwenye kikundi au nchi fulani, taifa la Tanzania ni miongozni mwa mataifa yanayoongozwa na sheria kupitia katiba ya nchi . Na Mwandishi wetu Mahakama ya Wilaya…
21 March 2024, 09:07
Mjane mwenye watoto sita kupata nyumba kutoka taasisi ya Tulia Trust
Mjane aliyekuwa akiishi kwenye nyumba ya maturubai Mbeya ameonwa na jicho la mbunge na spika wa Tanzania Dkt.Tulia Mwansasu Ackson ambaye pia ni Rais wa IPU baada ya kuishi kwa muda mrefu kwenye nyumba yenye maturubai. Na Ezra Mwilwa Taasisi…
21 March 2024, 08:11
Naibu Waziri Mahundi azindua, kukabidhi kisima cha maji Songwe
Wilaya ya Momba mkoani Songwe imekabidhiwa kisima cha maji baada ya kilio cha muda mrefu. Na Ezra Mwilwa Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Marryprisca Mahundi amezindua na kukabidhi kisima cha maji kwa wananchi wa kijiji cha Ipumpila kata ya Ndalambo…
20 March 2024, 18:55
Madiwani wanawake watembelea miradi ya maji Mbeya
Kutokana na changamoto ya uhaba wa maji kwa baadhi ya wakazi jijini Mbeya mamlaka ya maji safi imeendelea kujenga miradi ya maji ili kunusuru hali hiyo. Na Sifael Kyonjola Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira Mbeya kwa kushirikiana…