Recent posts
29 March 2024, 12:43
Wakristo wahimizwa kumtegemea Mungu kwenye maisha yao
Ijumaa Kuu kwa mkristo Ina nafasi kubwa kwani ni siku ambayo inatajwa kwenye Maandiko Matakatifu kuwa ndiyo ulimwengu ulipata wokovu na kibiblia kama mateso ya Yesu Kristo, kabla ya ufufuo wake wa siku Tatu. Na Rukia Chasanika Wakristo nchini wameshauriwa…
28 March 2024, 20:15
TMB yapiga marufuku wauzaji nyama kupuliza dawa yenye sumu buchani
Na mwandishi wetu Bodi ya Nyama Tanzania (TMB) Nyanda za Juu Kusini imepiga marufuku wauzaji wa bucha za nyama kuachana na tabia ya kupuliza dawa zenye sumu ili kulinda afya za walaji. Ofisa Mfawidhi wa Bodi ya Nyama Kanda ya…
28 March 2024, 19:39
Marufuku yapigwa uuzaji holela wa viuatilifu
Matumizi sahihi ya viuatilifu yanatajwa Zaidi kuwa sehemu bora ya uzalishaji wa mazao. Na Hobokela Lwinga Wasambaji na wakulima Nchini wametakiwa kutumia viutilifu vilivyosajiliwa sambamba na wenye maduka ya viutilifu kujisajili ili kuondoa wimbi la matumizi viutilifu visivyofaa. Wito huo…
27 March 2024, 11:22
Imarisheni ulinzi kwenye maeneo yenu
Jukumu la ulinzi ni la kila mtu kwenye eneo lake na ulinzi wa jamii unatajwa kuwa chanzo cha kuimarisha amani kwani matukio mengi yamekuwa yakifichuliwa na wananchi. Na Imani Anyigulile Vijana wa mtaa wa kabwe na bank kata ya Ruanda…
26 March 2024, 19:03
Wadau waombwa kusaidia watoto wenye uhitaji
Katika ulimwengu huu hakuna anayejua kesho yake hivi ndivyo unaweza kusema baada ya baadhi ya watoto kujikuta wapo kwenye mazingira magumu baada ya kupoteza wazazi. Na Ezra Mwilwa Wadau mbalimbali wameomba kujenga tabia ya kutembelea wahitaji mbalimbali na watoto yatima…
26 March 2024, 10:34
Wakristo mtumikieni Mungu katika maisha yenu yote hapa duniani
Kwaresma kwa mkristo ni nguzo ya imani na inakumbusha mateso ya Yesu Kristo katika kipindi hiki waumini wanaaswa kufanya matendo mataua(matakatifu) ikiwa ni pamoja na kufanya matendo ya upendo na amani. Na Iman Anyigulile Waumini wa dini ya kikristo nchini…
26 March 2024, 09:31
Wananchi wapigwa marufuku kuuza mazao kiholela
Akiba ni msingi wa maendeleo,Mkoa wa Songwe ni moja ya mikoa ya nyanda za juu kusini inayosifika katika uzalishaji wa mazao ya chakula na biashara,kumekuwa na tabia ya baadhi ya wananchi kusahau kesho yao pale wanapovuna mazao na wanajikuta wanauza…
24 March 2024, 09:04
Ujenzi Stendi ya Chimbuya Songwe kukamilika mwezi mei 2024
Baada ya kilio cha stendi ya kuegesha magari ya mizigo songwe hatimaye swala hilo limepatiwa ufumbuzi Na Ezra Mwilwa Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) mkoa wa Songwe, Mhandisi Suleiman Bishanga amesema Matengenezo ya mahali pa kuegesha malori eneo…
23 March 2024, 07:37
Baraka fm redio yapewa cheti ushiriki kongamono idhaa za kiswahili duniani
Meneja wa kituo cha redio Baraka cha jijini Mbeya Charles Amlike akiwa ameshika chetu cha pongezi na kutambua ushiriki wa kituo hiki cha matangazo katika kongamano la idhaa za kiswahili dunia lililofanyika Mbeya. kongamano hilo limeandaliwa Baraza la Kiswahili kwa…
23 March 2024, 07:20
Mbeya UWSA yakabidhi bando 8 za mabati kwa shule na ofisi ya mtaa
Nyuma ya mafanikio yako wapo watu wanaokuwezesha hivyo tunapaswa kujifunza kuwa na shukrani,haya tunafundishwa na mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira Mbeya ambao wameona umuhimu wa kurudi kwa jamii kwa kurudisha kwa jamii baadhi ya mafanikio yake. Na…