Recent posts
8 April 2024, 19:15
Fisi aua watatu, ajeruhi, watano wafa maji Mbeya
Jeshi la polisi mkoa wa Mbeya limeendelea kutoa wito kwa wazazi na walezi kuchukua tahadhari kwa watoto kwa kuhakikisha wanaweka uangalizi mzuri kwa watoto wao. Na Ezra Mwilwa Watoto watatu wameuwawa na wengine kujeruhiwa na mnyama aina ya fisi katika…
8 April 2024, 18:37
Wananchi watakiwa kuendelea kuitunza amani
Katika kuendelea na mfungo wa Ramadhan kwa dini ya Kiislamu tumeshuhudia makundi mbalimbali nchini yamekuwa yakifanya ibada ya kufuturisha maeneo mbalmbali nchini, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Zuberi Homera ameandaa chakula cha jioni katika mkoa wake. Na Dailes Razaro…
6 April 2024, 12:33
Machinga Mbeya waitwa kujisajili
Katika hali isiyo ya kawaida Mkoa wa Mbeya wafanya Biashara wadogo maarufu kama Machinga bado hawajapatiwa vitambulisho vya kufanya biashara zao. Na Ezra Mwilwa Wafanya Biashara wadogo maarufu kama Machinga mkoa wa Mbeya wametakiwa kujitokeza kufanya usajili wa kupata vitambulisho…
4 April 2024, 10:17
Madaktari bigwa kuweka kambi Mbeya,wananchi kunufaika
Unapokuwa na afya njema inakupa kuwa na mwendelezo wa kutimiza majukumu yako ikiwemo yale ya kiuchumi na yakijamii. Na Ezra Mwilwa Hospital ya Rufaa kanda ya Mbeya Imeandaa kambi maalumu ya upasuaji wa Ubongo, Uti wa mgongo na Mishipa ya…
3 April 2024, 12:19
Halmashauri ya Songwe yaendelea kuhamasisha mfumo wa stakabadhi ghala kijiji kwa…
Timu maalumu ya mfumo wa stakabadhi ghala inafanya uhamasishaji ikiwa ni pamoja na kutoa elimu ya faida ya mfumo wa stakabadhi ghala ikiwa ni maandalizi ya msimu wa mavuno wa 2023/2024. Na mwandishi wetu Timu maalumu ya uhamasishaji wa mfumo…
2 April 2024, 07:30
Polisi Mbeya kuwasaka watuhumiwa mauaji ya mwalimu, mwanafunzi Chunya
Mwili wa mwalimu aliyeuawa wilaya ya Chunya mkoani Mbeya utasafirishwa kwenda kufanyiwa mazishi mkoa wa Iringa. Na Ezekiel Kamanga Mwili wa aliyekuwa mwalimu wa shule ya msingi Mbugani Herieth Lupembe (37) aliyeuawa na watu wasiojulikana utasafirishwa kwenda mkoani lringa kwa…
1 April 2024, 19:25
Wakristo onesheni upendo kwa watu wote
Upendo ni sehemu ya maisha ya mwanadamu kila mtu anapaswa kuonesha upendo pasipo kujali rika rangi wala kabila. Na Deus Mellah Wakristo wa madhehebu mbalimbali mkoani Mbeya wametakiwa kuwa mstari wa mbele katika kuonesha upendo kwa watu wa makundi mbalimbali…
1 April 2024, 13:28
Mwalimu wa kike, mwanafunzi wauawa Kiwanja Chunya
Mwalimu wa kike na mwanafunzi wameuawa wakati huo mtoto wa miaka miwili akijeruhiwa wilaya ya Chunya mkoani Mbeya. Na Ezekiel Kamanga Watu wawili jinsi ya kike wakazi wa Kiwanja kata ya Mbugani wilaya ya Chunya mkoani Mbeya wanadaiwa kuuawa na…
31 March 2024, 12:17
Baraka fm yapongezwa kwa urushaji wa matangazo yenye tija kwa jamii
Redio Baraka ni redio inayomilikiwa na Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini magharibi,redio hii ndiyo redio ya kwanza ya dini iliyoanza kurusha matangazo yake na tangu ianze kurusha matangazo kumekuwa na shuhuda mbalimbali kutoka kwa wasikilizaji wake namna vipindi…
30 March 2024, 19:19
Zimamoto Mbeya yaopoa mwili wa asiyefahamika mto Magege
Katika hali isiyo ya kawaida mwili wa mtu mmoja umekutwa katika mto Magege ukidhaniwa kutupwa na watu wasiojulikana baada ya kumfanyia kitendo kilichopelekea kupoteza maisha. Na Ezekiel Kamanga Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Mbeya limefanikiwa kuopoa mwili wa…