Recent posts
14 April 2024, 20:34
Mlima Kawetere wameguka, mifugo yapotea, nyumba zabomoka
Wakati mvua zikiendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini na kasababisha madhara kwenye jamii, hali hiyo sasa imeukumba mkoa wa Mbeya baada ya mvua kunyesha na kusababisha mlima kumeguka na tope lake kuzingira makazi ya watu. Na Josea Sinkala,Mbeya Zaidi ya nyumba…
13 April 2024, 11:16
Moravian Jimbo la Kusini yaendesha semina kwa watumishi wake
Wanasema elimu haina mwisho,unapopata fursa ya kupata elimu huna bidi kuikimbia na badala yake unapswa kuiwa mpokeaji ili kukuongezea ujuzi kwenye jambo unalolifanya au kulisimamia. Na Mwandishi wetu Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini limeendesha Semina ya pili kwa…
11 April 2024, 19:54
Mbunge Mwantona akabidhi mifuko 50 ya saruji shule ya msingi Kibwe
Baada ya uchakavu wa miundombinu katika shule ya msingi Kibwe Mbunge Mwantona ametoa msaada wa mifuko hamsini ya saruji wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya Na Ezra Mwilwa Mbunge wa Jimbo la Rungwe Mhe Anton Mwantona leo Amekabidhi mifuko 50 ya…
11 April 2024, 18:00
Machifu Mbeya wachafukwa TARI kulima juu ya makaburi
Baadhi ya wananchi wa kata Ituha jijini Mbeya wamekerwa na kitendo cha Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (TARI) kituo cha Uyole kuvamia maeneo yao waliozika ndugui zao. Na Josea Sinkala Serikali wilayani Mbeya imeanza mchakato wa kumaliza mgogoro wa ardhi…
11 April 2024, 16:18
Dkt. Tulia akabidhi nyumba, azindua kiwanda cha nafaka, atembelea athari za mafu…
Dkt Tulia amewataka wananchi na watu wenye unafuu wa maisha kuwagusa watu wenye uhitaji kila mmoja Kwa namna alivyojaliwa badala ya kubeza wale wanaotoa misaada kwenye jamii. Na Ezekiel Kamanga Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Spika wa Bunge…
11 April 2024, 13:32
Fahamu faida, hasara za mionzi kwenye mwili wa binadamu-Kipindi
Na Hobokela Lwinga Kutokana na uelewa mdogo wa mionzi kwa wananchi, jamii imetakiwa kuipokea elimu ya mionzi pindi wataalum wanapofika kwenye maeneo yao kwani kufanya hivyo kutaepusha magonjwa yatokanayo na athari za mionzi ikiwemo saratani.
9 April 2024, 14:47
Waislamu Mbeya wapewa tabasamu na MNEC Mwaselela
Jamii ina hitaji upendo,kila mtu anapaswa kumonyesha upendo mwingine hiyo kwa Mungu ni thawabu kubwa. Na Mwandishi wetu Kuelekea sikukuu ya Eid El-fitri Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa (NEC) kutoka Mkoa wa Mbeya Ndugu Ndele Mwaselela ametoa sadaka…
9 April 2024, 13:46
Askofu Mwakanani: Mnapogombea zingatieni misingi na kanuni za uongozi
Mwaka 2024 kunatarajia kuwa na uchaguzi wa serikali za mitaa nchi nzima huku ikitarajiwa kupatikana kwa wenyeviti wa mitaa na vijiji sambamba na 2025 kunatarajiwa kuwepo kwa uchaguzi mkuu wa Rais, Wabungeni na Madiwani. Na Kelvin Lameck Viongozi wa vyama…
9 April 2024, 13:28
CHADEMA Mbeya yachagua viongozi, Masaga ambwaga Mwasote
Mabadiliko ni sehemu ya maisha ya binadamu hivyo ndivyo unaweza kusema hata kwenye taasisi kunahitaji mabadiliko ili kwenda mbele zaidi na kuyafikia mafanikio. NA Imani Anyigulile Wananchama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo mkoa wa Mbeya wamechagua viongozi mbalimbali wa…
8 April 2024, 20:02
Wachungaji kemeeni mambo ya ushoga unaoendelea duniani
“Tumieni elimu na maarifa mliyoyapata vyuoni kuuaminisha ulimwengu juu ya imani ya kumtegemea Mungu na siyo fedha.” Na Ezra Mwilwa Wachungaji waliopo masomoni Chuo Kikuu Teofilo Kisanji na Chuo cha Itengule Mbeya wametakiwa kuendelea kukemea maswala ya ushoga yanayoendelea duniani.…