Recent posts
19 April 2024, 17:40
Ruwasa Mbeya watoa msaada kwa waathirika wa maporomoko Kawetere
Maporomoko mlima Kawetere yalitokea April 14,2024 majira ya saa tatu asubuhi na kusababisha nyumba zaidi ya ishirini kufukiwa na udongo ikiwemo shule ya mchepuo wa kiingereza ya Generation. Na Ezekiel Kamanga Bodi ya Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa…
18 April 2024, 18:59
Moravian Mbeya yaimarisha taasisi zake za elimu,wanachuo 44 wahitimu fani ya ual…
Katika kuthamini na kuunga jitihada za Serikali katika Sekta ya elimu nchini,kanisa la Moravian Jimbo la kusini magharibi limeendelea kuimarisha uendeshaji wa taasisi zake za elimu ikiwemo Shule,vyuo vya ufundi na ualimu kuhahakisha vinazalisha wasomi wengi ambao watakuwa msaada kwenye…
18 April 2024, 18:17
Mhandisi Merryprisca Mahundi atoa msaada kwa waathirika wa maporomoko Mbeya
Kutokana na Mvua zinazonyesha kusababisha maporomoko katika kata ya Itezi jiji Mbeya na kusababisha wakazi kukosa maeneo ya kuishi huku wengine wakipoteza mali pamoja na mifugo wadau mbalimbali wameendelea kutoa misaada ya kujikimu kwa wahanga hao. Na Ezra Mwilwa Taasisi…
18 April 2024, 17:48
Wafanyakazi wanawake Hospitali ya Rufaa Kanda ya Mbeya watoa msaada wa kitanda c…
Hospitali ya Rufaa Kanda ya Mbeya imekuwa ikiboresha huduma zake siku hadi siku na kuifanya kuwa kimbilio katika mikoa ya Nyanda za Juu na nchi za Kusini mwa Afrika. Na Ezekiel Kamanga Watumishi Wanawake vitengo mbalimbali Hospitali ya Rufaa Kanda…
17 April 2024, 21:17
Rais Samia mgeni rasmi wakfu wa askofu mteule Moravian
Taasisi za dini ni miongoni mwa taasisi ambazo zimekuwa mchango mkubwa wa kutunza, kulinda amani ya taifa hali hiyo inathibitishwa na maridhiano yaliyopo baina ya taasisi za dini pamoja na serikali. Na Hobokela Lwinga Rais wa Jamhuri ya Muungano wa…
17 April 2024, 12:12
Mvua yakata mawasiliano ya miundombinu ya barabara Rungwe, Mbeya
Katika hali isiyotarajiwa wakazi wa kata ya Kapugi na Lyenje wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya wamekutana na adha ya kuharibika kwa miundombinu ya barabara iliyokuwa ikiwaunganisha na kusababisha shughuli mbalimbali za kiuchumi kusimama. Na Ezra Mwilwa Mvua zinazoendelea kunyesha zimesababisha…
16 April 2024, 16:58
Dkt.Nchimbi atua Mbeya kwa kishindo
Katibu Mkuu wa CCM Taifa Dkt. Emmanuel Nchimbi ameendelea na ziara yake ya mkoa kwa mkoa na sasa ametua mkoani Mbeya baada ya kutoka kwenye ziara katika mikoa ya Katavi,Rukwa na Songwe. Na Hobokela Lwinga Mkuu wa Mkoa wa Mbeya…
16 April 2024, 15:50
Chunya yaanza maandalizi mapokezi ya mwenge wa uhuru
Maandalizi yaendelea wilaya ya Chunya kupokea mbio za mwenge wa uhuru utakaopokelewa mwezi wa nane mkoani Mbeya mwaka huu. Na Hobokela Lwinga Mkuu wa wilaya ya Chunya Mhe. Mbarak Alhaji Batenga, mapema leo amefungua kikao kazi cha maandalizi ya mbio…
16 April 2024, 15:34
Kambi ya madaktari bigwaa Mbeya yaleta furaha kwa wananchi
Wananchi mkoani Mbeya wamepata huduma za matibabu bure kupitia Hospitali ya Kanda ya Rufaa Mbeya. Na Ezra Mwilwa Kutokana na ushirikiano wa wataalamu wa Afya kutoka Hospital ya Taifa Mhimbiri kuweka kambi Mbeya matunda ya kambihiyo, wananchi 280 wamenufaika Dkt.…
16 April 2024, 15:28
Wakristo watakiwa kuchangia damu kusaidia wagonjwa wenye uhitaji
Jamiii imetakiwa kuwa mstari wa mbele katika kuwezesha banki ya damu kuwa na akiba ya kutosha. Na Anna Mbwilo Waumini wa kanisa la TAG Nzovwe jijini Mbeya wametakiwa kuchangia damu kwa lengo la kuiwezesha benki ya damu kuwa na akiba…