Recent posts
3 May 2024, 09:48
Wanawake jitokezeni kupata mafunzo ya kujenga ndoa zenu
Kutokana na utandawazi kuendelea kukua katika ulimwengu huu wanawake wametakiwa kujitokeza katika semina mbalimbali kujifunza namna bora ya kuishi kwenye ndoa zao. Na Iman Anyigulile Wanawake mkoani Mbeya wametakiwa kujifunza mara kwa mara mafundisho ya ndoa ili kuweza kuimarisha ndoa…
3 May 2024, 09:43
67% ya watoto wanatumia simu, 4% wamefanyiwa ukatili
Ukuaji wa sayansi na tenkolojia ulimwenguni umeleta changamoto ya malezi duni kwa watoto ambapo baadhi ya wazazi wamekua wakitumia mitandao ya kijamii kutoa malezi kulea watoto wao. Na Rukia Chasanika Katika utafiti uliofanywa juu ya matumizi ya simu kwa watoto…
3 May 2024, 09:37
Dkt.Tulia atoa ajira kwa vijana 20 wanagenzi chuo cha ufundi Magereza
Kama ambavyo imekuwa desturi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kushiriki na kuwezesha jamii katika utatuzi wa changamoto hali hiyo ameendelea kuonesha kwa kujali makundi yote yakiwemo ya vijana. Na Ezekiel Kamanga Rais wa Mabunge Duniani…
2 May 2024, 11:58
Viongozi idara za Moravian zapewa elimu kupinga ukatili
Utaratibu wa kanisa Moravian Ni kuhakikisha idara zake zinakuwa sehemu ya kuungana na jamii kupinga masuala ya ukatili yanayofanywa kwenye jamii. Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini kupitia Idara yake ya Ustawi wa jamii Inaendesha mafunzo ya kuwajengea uwezo…
27 April 2024, 00:11
Wananchi watakiwa kutumia michezo kuimarisha afya zao
Afya ni mtaji jambo lolote ili uweze kulifanya linategemea afya njema hata hivyo wataalamu wa afya wanasisitiza kutunza afya kwa njia ya mazoezi kwani mazoezi yanatajwa kuwa tiba ya kuuokoa mwili wako usipatwe na magonjwa. Na Rukia Chasanika Ikiwa leo…
25 April 2024, 21:39
Viongozi wa dini waja na mkakati kabambe kilimo cha ufuta
Kwa kutambua umuhimu wa kilimo nchini, taasisi za dini zimejikita katika uzalishaji wa mazoa biashara katika kilimo cha ufuta. Na Ezra Mwilwa Umoja wa Makanisa Tanzania umejipanga kuanzisha mradi wa kilimo cha ufuta ili kuinua uchumi wa nchi. Kauli hiyo…
25 April 2024, 20:41
TADIO yawaasa wanahabari kutumia kalamu zao kwa weledi
Kufuatia ukuaji wa sayansi na teknolojia duniani, tasnia ya habari ni moja ya tasnia inayotakiwa kwenda sambamba na mabadiliko hayo katika kuzingatia taaluma yao kuwa karibu na jamii wanayoitumikia kwa kuwalisha habari zenye ukweli na uhakika. Na Hobokela Lwinga Waandishi…
23 April 2024, 11:42
T.A.G Galilaya laadhimisha miaka 85 kwa kupanda miti
Utunzaji wa mazingira hautegemei mtu mmoja au kikundi fulani bali utunzaji wa mazingira unamtegemea kila mtu kutokana na kwamba kila kiumbe hai kinategemea mazingira safi na bora katika eneo alikopo, zipo athali mbali ambazo zinaweza kujitokeza katika uharibifu wa mazingira…
22 April 2024, 09:25
Wanyakyusa kufanya tamasha la utamaduni Makumbusho Dar es Salaam
Kutokana na Makumbusho ya Taifa kufanya matamasha mbalimbali ya kitamaduni kote nchini mwaka huu, kabila la wanyakyusa linalopatikana katika halmashauri za Rungwe na Kyela mkoani Mbeya linatarajia kufanya tamasha lao katika jiji la Dar es salaam. Na Ezra Mwilwa Kuelekea…
19 April 2024, 17:54
Zaidi ya ekari 100 za mazao zaharibiwa na mdudu hatari Mbozi
Mdudu anayefanana na funza anakula mizizi ya mazao yote ya Chakula ,Biashara na mbogamboga ambapo wakulima wameingiwa na hofu ya kuendelea kulima kutokana na uwepo na mdudu huyo hatari Kwao. Na Mwandishi wetu Songwe Zaidi ya ekari 100 za mashamba…